Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,313
Wanandoa pamoja na mfanyakazi wa ndani wa kiume, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin na ethamphetamine zenye uzito wa kilo 3,049.
Wanandoa hao ni Najim Mohamed (52) na mkewe Maryam Mohamed (50) pamoja na mfanyakazi wa ndani, Juma Abbas (37), ambao wamefikishwa mahakamani hapo leo, Desemba 29, 2023 na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hemed Halfan akishirikiana na Frank Michael, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Aaron Lyamuya.
Mwananchi Digital