likizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited - Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, hatuna mikataba, bima wala likizo

    Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6. Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

    "Nikapanda kwa juu, akanishikia mchi wake, nikaukalia taratibu ukateleza kwenye kinu na yeye akahamisha mikono, akapeleka kwenye makebo, akawa anayashika shika huku anayaachanisha ili mchi uzame vizuri kwenye kinu.............. " Kabla sijaanza kuwasimulia hili tukio la jana: vipi ushawahi...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

    "Nimelalia upande, akanyanyua kebo moja, akateremsha mchi ndani ya kinu, nikajitikisa kidogo huku narudisha mkia nyuma, nikatoa sauti ya ulegevu “niwekee yoteeee mume wangu……….” Kabla sijaanza hii simulizi, vipi ushawahi kuambiwa maneno hayo? ilikuwaje? Simulizi ya 1 kati ya 7 Usiku...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021

    Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa. Nimekuwa nikiandika barua za...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Pesa ya likizo kisheria inatoka OC au mapato ya ndani?

    Naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na badala yake kuambiwa wajilipe kutoka kwenye OC ya ofisi? Naomba kufahamu kama huo ndio utaratibu...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Likizo hii umemuandalia mtoto sehemu ya kujifunza stadi za kazi za kumuandalia ujuzi wa kujiajiri au unaendelea kumkomalia na tuisheni ?

    Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha? Ukweli mchungu ni kwamba...
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Elite home tuition – likizo na muendelezo wa masomo

    Unatafuta msaada bora wa masomo kwa mtoto wako au mwanafunzi? Karibu Elite Home Tuition – huduma ya kipekee ya kufundisha nyumbani kwa ubora wa juu! ✨ Tunatoa huduma kwa: Watoto wadogo (KG1) hadi Form Six Mitaala yote ya shule Lugha za kigeni (English, French, Arabic n.k.) Uimarishaji wa...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tamisemi, Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani likizo wasibaki shuleni mtaàla wa sasa unapima ufahamu siyo content based curriculum

    Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania LATRA Kinodoni ipo liziki?

    LATRA Jiji la Dar es salaam inasemekana ipo likizo. HALIMA LUTAVI ambaye ni kaimu mkurugenzi usafiri wa barabara , sijui kama yupo ofisini ama likizo ya masomo, kwakuwa DALADALA zinakatisha ruti na uongozi upo, hatutaki kumuingiza mkurugenzu mkuu kwakuwa ana majukumu mengi na ndio sababu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025

    Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 mpaka leo hii Mei 2026, kitu ambacho kinashangaza kwasababu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watumishi Halmashauri ya Kibondo tuna kero nyingi, tupewe elimu au kuambiwa ukweli kinachoendelea ili tusibaki na chuki rohoni

    Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi? Suala la kuhama kwenye mfumo, tupewe elimu na vigezo vya mtumishi kuhama na kusaidika namna nzuri bila...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiomba likizo ya Mwaka katika baadhi ya Ofisi zetu za Umma unaonekana kama msaliti au uzembe

    Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai." Kwa watumishi wengi, kitendo cha kuwasilisha fomu ya kuomba likizo kimekuwa kama chanzo cha unyonge mahali pa kazi. Badala ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

    Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost. Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
Back
Top Bottom