Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan leo na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan.
Katika operesheni kubwa ya uokoaji, manusura 29 wakiwemo watoto wawili waliokolewa...
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha.
Pia ukiangilia video jinsi...
Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti.
Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy
Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya kifo, huku Mkataba huu ukiwa na Wastani wa muda wa takriban Miaka 70 kwa mhusika.
Mkataba huu pia...
Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria.
Hayo yamesemwa na Afisa...
Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka .
Hii...
Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye
Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM
1. Petrobas Katambi
2. Lijualikali
3. Silinde
3. Peneza
4. Mashinji
5. Peter Msigwa
Wengine wakasaliti chama waziwazi...
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
Je,
1. Uwalipizie Kisasi?
2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao?
3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi?
4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao?
5. Kama ni Wanawake basi Ulale nao ( Uwakaze ) bila Huruma?
6. Uwatambie kwa Kuwakera
7. Unyamaze, utumie muda wako mwingi...
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa!
Simba...
Wanandoa pamoja na mfanyakazi wa ndani wa kiume, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin na ethamphetamine zenye uzito wa kilo 3,049.
Wanandoa hao ni Najim Mohamed (52) na mkewe Maryam Mohamed (50) pamoja...
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa...
Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao.
Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki.
Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad.
Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.