gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Netanyahu akataa mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesisitiza tena kukataa mpango wa hivi karibuni wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Gaza, akisema Israel haitaukubali mpango huo kama ulivyo. Kauli hiyo aliitoa Jumapili Agosti 9, 2026, wakati akizungumza na mawaziri wa serikali yake, huku...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya halaiki kwa Magaidi: Israel inafanya kazi nzuri sana kuwaua Magaidi huko Gaza!!

    Mazishi ya halaiki yamefanyika katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, leo, kwa ajili ya Magaidi 112 wa familia za Abu Sharia na Al-Hasaina, ambao miili yao ilipatikana katika wiki 2 zilizopita kutoka chini ya kifusi cha makazi katika kitongoji cha Sabra. Magaidi wa Hamas wanasema eneo hilo...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GRAPHIC VIDEO!! Magaidi wazidi kuangamizwa huko Gaza!!!

    ⚠️picha za kutisha⚠️ Israel ilifanya shambulio lililolenga gari katika kitongoji cha Rimal kaskazini mwa Gaza. Magaidi 4 waliangamizwa. Kwa jumla, angalau magaidi 28 waliangamizwa leo katika Ukanda wa Gaza. Hamas ilichapisha taarifa kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya kulenga ya IDF dhidi...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad AANGAMIZWA huko Gaza!!

    Jana IDF ilishambulia kusini mwa Gaza na kumuua gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad, kamanda wa seli ya Hamas Nukhba. Gaidi huyo alijipenyeza Kibbutz Nir Oz wakati wa mauaji ya Oktoba 7. Katika shambulio la ziada mwishoni mwa wiki (Ijumaa), katikati mwa Gaza, IDF ilimuua gaidi Muhammad...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa PIJ waangamizwa huko Gaza

    Jana , IDF ilishambulia katika eneo la Khan Yunis kusini mwa Gaza na kumuangamiza gaidi Muhammad Khalil Muhammad Aslam, kamanda wa kikosi cha Nukhba katika shirika la kigaidi la Palesyin Islamic Jihad( PIJ.) Wakati wa mauaji ya Oktoba 7, Aslam aliongoza kikundi cha kigaidi kilichoshiriki katika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza

    Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza; Trump kutangaza mpango wa Bodi ya Amani .Chanzo cha picha, Reuters Afisa mwandamizi wa Hamas ameliambia shirika la habari la BBC kwamba kundi hilo limekubali mpango wa Bodi ya Amani wa kuachana kabisa na silaha katika Ukanda wa Gaza huku akiongeza kuwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waangamizwa huko Gaza!!!

    Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel
  9. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Israel anaipiga mabomu Gaza?

    Ukiangalia international news outlets, unaona huruma kinachoendelea Gaza. Heavy bombings with loss of life of innocent people. Israel anawapiga mabomu kwa sababu gani? Tatizo ni lipi ambalo haliwezi kutatuliwa mezani? Nini wasichokubaliana? == Israeli attacks on two residential neighbourhoods...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Hamas yavunja utawala wake Gaza

    Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano. Swali: Nani aliwapa Hamas...
  12. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kufanya Mashambulizi Gaza na Lebanon, Iran Wanywea

    Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa. Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza makubaliano ya kuacha vita na Iran, je utakuwa utapeli kama ule wa Gaza?

    Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC? Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi wa Hamas, Hani Mohammed Abu Mohammed, aliangamizwa huko Gaza

    Gaidi wa Hamas, Hani Mohammed Abu Mohammed, aliangamizwa kabisa na IDF katika Ukanda wa Gaza. Wanazi hawacheki tena. Huko kuzimu wanakopata mates!!!
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waendelea kuangamizwa huko Gaza!!

    Usiku mmoja, Israeli ililenga kituo cha polisi cha Hamas karibu na Makki Square katika kambi ya al-Maghazi katikati mwa Gaza. Magaidi 3 waliuawa. Leo, Israeli ilifanya shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye gari aina ya Jeep la Tucson kaskazini magharibi mwa Khan Yunis kusini mwa Gaza...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Gaidi Azam al-Hayya ukibebwa Mzobemzobe kwenda kuzikwa huko Gaza!!

    Mazishi ya Azam al-Hayya, mwana wa Khalil al-Hayya, kiongozi mpya wa Hamas, ambaye alikuwa gaidi hai wa Nukhba (kitengo cha wasomi), yanafanyika leo huko Gaza. Aliondolewa jana pamoja na magaidi wengine walioshiriki katika mauaji ya Oktoba 7.
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Israeli soldiers mass surrender in Gaza border chaos

    There has been a viral post circulating on social media claiming that heartbreaking scenes of total humiliation are unfolding right now on the Gaza border, as Iran-backed resistance forces trigger a mass surrender of Israeli troops, with soldiers openly crying and dropping their weapons in panic...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GRAPHIC-VIDEO-Magaidi wawili wa Hamas wauawa huko Gaza

    Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao. Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100 others Tunawasikia wakiongea lugha ya majini wengine lugha hiyo hatuijui kwa faida ya wengi tunaomba...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas huko Gaza wanapata taabu sana tuwaombee tu!!!

    Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel. Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya jengo hilo na sasa kuna uwezekano kama ni kweli wamekabidhiwq wale mabikira fake ili wawabikiri!!!!
Back
Top Bottom