Wakuu,
Kilimo cha mjini kinakua kwa kasi, watu wanakuza mimea kama mboga za majani hadi matunda kwenye ndoo, mifuko ya cement iliyotumika na chochote chenye nafasi ya kuingia udongo.
Kuna mifuko maalumua ya kukuzia mimea inaitwa "grow bags". Angalia kwenye picha, kwa Dar inapatikana wapi wenye...