Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu.
Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya...
Natumaini tuko poa
Kila mmoja anaona au aliona yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2025 ,baada ya machafuko ya October 29 ,Raisi aliunda tume ya kuchuguza kilichotokea na sababu ya yale mambo kutokea na tayri tume imekabidhi ripoti yake na mapendekezo yake.
Baada ya tume...
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Tume imefanya...
"Tume pia ilifanya ukaguzi na kubaini
kuwa eneo la makaburi ya Kondo linazungukwa na makazi ya watu, na ambalo bado linatumika kwa shughuli za kilimo cha msimu na lina ulinzi muda wote. Kutokana na ushahidi na uchunguzi wa Tume wa uwandani, na kwa kuzingatia hali iliyoonekana katika eneo la...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika.
Kusoma hoja ya Mdau...
Kuna watu wamevurugwa kinoma!
==========
Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.
Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu.
Hainiingii akilini kwa...
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili...
Wakuu,
Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam.
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
Kila kitu kitakufa Wazi.
Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !.
Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako.
Haw wasengee wameua sana
https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6
Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri;
Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera.
Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo
Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi
Taarifa kamili hii hapa
https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
Viumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu.
Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa sementi kuna mchango gani kwa asili ambayo ndiyo sisi sote tumetoka huko?
Viumbe vyote ,wanyama na...
Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile...
Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao.
Je Afrika hatuna haya mambo hadi tupoteze fedha na muda mwingi mbali na kuwatajirisha watu tena wanaotubagua...
Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.