mossad

Mossad, is the national intelligence agency of Israel. It is one of the main entities in the Israeli Intelligence Community, along with Aman (military intelligence) and Shin Bet (internal security).
Mossad is responsible for intelligence collection, covert operations, and counter-terrorism. It is separate from the democratic institutions of Israel; because no law defines its purpose, objectives, roles, missions, powers or budget, and because it is exempt from the constitutional laws of the State of Israel, Mossad has been described as a deep state. Its director answers directly and only to the Prime Minister. Its annual budget is estimated to be around 10 billion shekels (US$2.73 billion) and it is estimated that it employs around 7,000 people directly, making it the one of the world's largest espionage agencies.

View More On Wikipedia.org
  1. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wawili wanyongwa Iran kwa kutuma taarifa za siri za Jeshi kwa Mossad Majasusi wa Israel

    Iran imewanyonga raia wake wawili, baada ya kutuhumiwa kwa kutuma taarifa nyeti za kijeshi pamoja na location za maeneo ya kiusalama kwenda Israel. Inadaiwa kuwa taarifa hizo zilitumwa wakati wa vita vya siku 12 mwezi Juni 2026, pamoja na wakati wa vita vinavyoendelea hadi sasa na Iran. Taarifa...
  3. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Uturuki ilivyozuia mpango wa siri wa Mossad na CIA kupindua serikali ya Iran

    Gazeti la New York Times imeripoti mpango uliokuwa umesukwa na Mossad kwa ushirikiano wa karibu na CIA wa kutumia vikundi vya waasi wa kikurdi huko Iran na Iraq ili kushambulia na kupindua serikali ya Iran. Mipango hii pia ilihusisha kumtumia Rais mstaafu wa Iran Mohammed Ahmedinejad kama...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wameanza kusema Messi alisaidiwa na Mossad juzi😁

    Hivi hawa jamaa hawajahi kutenganisha kila kitu na itikadi, wakishindwa wanasema mossad na CIA imehusika ila wakishinda wanasema mungu wao ndio amesimama nao , sasa huyo mungu wao na mossad nani mkubwa?😆 Trash🚮 👇👇👇
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Roman Gofman awa kiongozi mpya wa Mossad!!! Iran wajipange!!

    Roman Gofman anakuwa mkuu mpya wa Mossad; katika sherehe, Netanyahu asema Israeli 'itasaidia' utawala wa Iran kuanguka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asema utawala wa Iran "umekusudiwa kupita" na anaapa kwamba Israeli itaisaidia kufanya hivyo, huku akizungumza katika sherehe ya kumkaribisha...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mossad David Barnea atoa Neno kwa Magaidi!!

    Mkuu wa Mossad David Barnea: "Ahadi yetu itatimizwa tu wakati utawala uliokithiri nchini Iran utabadilishwa. Hatukufikiria kwamba misheni hiyo ingekamilika mara tu baada ya mapigano kupungua, lakini pia tulipanga kwamba kampeni yetu itaendelea na kuonyeshwa hata katika kipindi kilichofuata...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Benjamin Netanyahu, amejeruhiwa vibaya baada ya shambulizi lililolenga makao ya Mossad jijini Tel Aviv

    Wakati mvutano wa vita kati ya Iran, Israel na Marekani ukiendelea Duniani , kumeibuka machapisho yanayosambzwa kwenye mtandao wa Facebook likidai kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amejeruhiwa vibaya baada ya shambulizi lililolenga makao ya Mossad jijini Tel Aviv.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mossad wafanikisha kuokolewa kwa rubani wa F-15E

    Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato. Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Makao makuu ya Mossad yaliyopo Tel Aviv yameharibiwa na mashambulizi ya Iran

  11. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwanadiplomasia wa Hamas alivyotekwa jijini Brussels na Majasusi wa Mossad wakati wa mkutano wa U.N

    Brussels, Ubelgiji. Tarehe 3 Novemba 1995. Yupo Mwanadiplomasia mmoja wa Hamas siku hii alikuwa anatoka kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa uliokuwa ukijadili kuhusu wakimbizi wa Palestina. Sasa akawa Anaangalia saa yake ya mkononi akifikiria kuhusu sehemu aliyopanga kwenda kula chakula cha...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Dr Ashraf Marwan: Mkwe wa Rais wa Misri aliyegeuka kuwa Jasusi wa Mossad.

    Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho. Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ishu ya iran ilikuwa mchakato, yalianza mauaji ya binti aliekataa kuvaa hijabu, ikaja vijana wengi kukimbilia ukristo na US kuongeza vikwazo

  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mossad atoa hotuba adimu kuhusu Iran!!

    Mkuu wa Mossad katika hotuba adimu: "Mossad ina uwezo mkubwa na usiofikirika ndani ya Iran" kuna watu walikuwa wanasema Iran haiingiliki sisi Mossad tumejipenyeza kila sehemu mpaka katikati ya Tehran, Tunakushukuru Waziri Mkuu na waziri wa ulinzi kwa kuidhinisha kila Operation tuliyoipanga...
  16. Jackal

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Pager:Karibu Magaidi Elfu Tatu Wa Hezbollah Au Wanafamilia Wao Wamekuwa Vilema Sababu Ya Mashambulizi Ya Pager Yaliyofanywa Na Mossad

    Source:Alarabiya TV
  17. Jackal

    JamiiForums Tanzania Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

    Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran. Angalau magari matano ya dharura yalipelekwa katika eneo la tukio baada ya mlipuko wa Jumatatu katika makazi ya Nasim Pardisan...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanasa na kuwaweka mbaroni wairan.700 kwa kushirikiana na Mossad wakati wa mapigano ya siku 12 na Israel

    Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says By Reuters and ToI Staff Today, 7:30 am Share 1 Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports. Iran has executed a number of...
Back
Top Bottom