Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua hiyo inavyoweza kuathiri siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Tanzania Bara.
Mjadala huo...
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar.
Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe, kigawiwe vyeo, kisha kisubiri miaka mingine mitano.
YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR
Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu.
Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla kuwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kufanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umefanywa na Kamati ya Uongozi Taifa ya chama hicho katika kikao maalumu kilichoketi jana, Jumatano, Septemba 16, 2026, kwenye Ofisi Ndogo...
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa.
Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
Septemba 6, 2026 Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita alizungumza na Wanahabari, pamoja mambo mengine alizungumzia suala la El Nino na jinsi Serikali inavyoshindwa kujiandaa kukabiliana nayo.
ACT Wazalendo hatutaki maneno bila vitendo, kwa kuwa mvua hizi zinaweza kusababisha...
Wakuu,
Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita, amevishambulia vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa kudai kuwa vimeshindwa kuonesha nia thabiti ya kukabiliana na matukio ya utekaji, mauaji, na watu kupotea.
Akizungumza na wanahabari leo Jumapili mkoani Dar es...
https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M
ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Mtutura ameeleza kuwa kipimo mahsusi cha ufanisi wa bandari ni muda ambao meli inachukua tangu...
ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
Dk Elizabeth Sanga
Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai kuwa watu maskini wanaendelea kukosa huduma muhimu za matibabu na vipimo vya kibingwa.
Katika tathmini...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ametaja mambo matatu aliyosema yakitekelezwa ndipo kita kitaingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).
Mambo hayo pamoja na kuundwa kwa kamati ya pamoja yenye uwakilishi sawa kutoka vyama vilivyosaini makubaliano, kuundwa...
Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?
Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali...
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
Chama cha ACT Wazalendo kinakemea vikali kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka jioni ya jana Agosti 14, 2026, nje ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi akiwa anatekeleza majukumu yake. Polisi wamemkamata kwa kile wanachodai kudharau amri ya Mahakama Kuu.
Kukamatwa kwa...
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema hajawahi kushuhudia Serikali inayokiuka sheria na Katiba kwa kiwango anachodai kufanyika katika Awamu ya Sita. Amesema katika kipindi chake cha miaka 20 akiwa Mbunge, ameshuhudia awamu mbalimbali za uongozi, lakini hali ya sasa ni...
Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) kimekataa rasmi kuitambua Tume ya Rais iliyoundwa kuchunguza matukio ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kikisisitiza kuwa Serikali inayotuhumiwa kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu haina uhalali wa kisiasa wala...
ACT Wazalendo imepokea taarifa ya Serikali kuhusu kuundwa kwa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Pamoja na kutambua umuhimu wa kuwapo kwa uchunguzi kuhusu matukio hayo, tunasikitishwa na uamuzi wa kuunda Tume ambayo muundo wake...
https://youtu.be/tN1-smB7nOo?si=j1dEU9tUQi1fNu2N
Anasema:
1. Ameamua kutoka huko ili kuungana na wapigania haki wengine kuipigania haki, demokrasia na utawala bora Tanzania
2. Haoni chama kingine chochote ambacho kinapata uungwaji mkono mkubwa toka kwa wananchi kwa sasa kuliko wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.