Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja.
Ukweli mchungu ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu
Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
Salaam.
Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.
Wazee ni kwangu...
OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI
MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA.
Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji.
Tatizo:
Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
Anonymous
Thread
huduma
huduma ya maji
kuomba
magereza
maji
msaada
mtaa
mtaani
ombi
segerea
tuna
wakazi
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO YATAVUNJA SPRING ZA BODABODA"
Nikatoka pale nacheka sana moyoni kwahyo huu msemo wa Makebo ushakua serious...
Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba
hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba mbili, gari prado na mke wake anayo ya kawaida, n.k.
nilikuwa nazichukulia gereji kawaida sana
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
hatuna
idara
idara ya maji
maji
maji arusha
mmoja
mtaa
mtaani
mwezi
mwezi mmoja
mzima
shida
shida ya maji
taarifa
tuna
yapata
Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu.
Tunaomba msaada kuna Watoto wadogo wanachezea hicho kinyesi, ni Mikocheni A, Mtaa wa Darajani aisee hali ni mbaya sana, naomba...
Vijana wa sasa wengi wao wanataka familia na hata wale wanajikuta tayari wanafamilia kwa maana Mke na mtoto au watoto lakini maisha anayoishi na hiyo familia yake ni ujinga mwingi
Kijana huyu wa kiume akishampa binti kwanza ataanza kukataa huo ujauzito, mwingine ataukubali lakini matunzo...
Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .
Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu.
Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa...
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.
Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
Anonymous
Thread
mmoja
msingi
mtaani
mwalimu
shule
shule ya msingi
tanga
wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.