utajiri

 1. Erythrocyte

  Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

  Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na...
 2. J

  RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

  Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope. RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye...
 3. Makirita Amani

  Kama una tabia hizi 10, huwezi kamwe kufanikiwa kwenye maisha

  Rafiki yangu mpendwa, Sipendi kuwa mtu wa kuleta habari mbaya kwako, lakini ukweli huwa haujali. Ukweli huwa unabaki kuwa ukweli iwe unapendwa au haupendwi. Hivyo badala ya kutumia mbinu ya mbuni, kuficha kichwa kwenye mchanga ili kutokuiona hatari, ni vyema tukaiona hatari na kuchukua hatua...
 4. sinza pazuri

  AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

  Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz. Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
 5. Prof Koboko

  Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

  Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi. Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane? Eti mnaita huyo...
 6. Countrywide

  Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

  Ukweli mchungu. Watu wengi wanatamani Sana kuwa matajiri lakini hawajui mbinu gani zinatumika. Sisemi matajiri wote walikuwa mabahiri, la hasha Ila kikwetukwetu hii mbinu ya ubahili ndio njia nzuri ya kuelekea kuwa tajiri. Ubahili nachukulia Kama kitendo Cha kutotumia pesa kwenye matumizi...
 7. Makirita Amani

  Kitabu Kipya; Tabia za kitajiri za kuishi kila siku ili kufika kwenye utajiri mkubwa

  Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukutaarifu kwamba kitabu kipya cha TABIA ZA KITAJIRI; Tabia Za Kuishi Kila Siku Ili Kupata Utajiri, Mafanikio Na Furaha kimekamilika na kiko tayari kwa ajili yako kusoma. Hiki ni kitabu ambacho kimebeba matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanywa kwa...
 8. Chizi Maarifa

  Kilichokuwa Nyuma ya Story yangu ya kusaka Utajiri Kongo DRC

  Naona wengi mnanichukia na kuniita majina yote mabaya.Fisadi, Tajiri Mjeuri, Handsome Boy, Billionea Chizi n.k Ile story nlilazimika kuisitisha baada ya wahusika kunifuata na kutaka niisitishe na walitoa sababu zao. Mbaya zaidi mmoja ana connection kubwa sababu ya biznez zake za Madawa. Nami...
 9. Jackwillpower

  Freemasons katika siasa na dini

  Nataka kusema kwamba, Ulaya wameitawala Libya,wanajua utamu wa utajiri wake wa mafuta. Ulaya na Marekani ndiyo wenye makampuni makubwa, “Supermajors” ya mafuta hapa duniani. Utawala wa Gaddafi ulitaka kubinafsisha mafuta yote yawe kwa maslahi ya Walibya, ooh…wakamkosea Mzungu. Freemasons...
 10. Naton Jr

  Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

  Report mpya ya ukwasi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa tofauti duniani imetoka ikionesha hali ya utajiri katika taifa. Aidha report hii inaonesha ni kiasi gani cha fedha unapaswa kuwa nacho ili uingie kwenye country's millionaire club au uwe regarded as a wealth man au uwemo katika kundi dogo...
 11. J

  PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

  Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia. Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
 12. B

  Asikudanganye mtu kuwa Umaskini ni jambo la Kujivunia. Jaribu utajiri uone raha yake

  Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata. Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga. Pata mali halali. Maskini hana Raha mchana wala Usiku. Mchana Nzi usiku Mbu. Hamna jema maskini...
 13. Ghost boss

  Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

  Kuna habari inatembea sasa ikimwonesha mvuvi anayedaiwa kuvua samaki mwenye thamani ya pesa za Tanzania billion 6 na anadaiwa baada ya kumvua alimla na wanakijiji wenzie. Kwa haraka haraka hakuna anayeweza kumlaumu jamaa maana angejuaje kama thamani yake ndio hiyo. Ila swali nikuwa huyu jamaa...
 14. Ghost boss

  Impossible is richness. Lisilo wezekana ndio utajiri. The problems is that the rich man is not yet a rich, and a poor man is not yet a poor

  IMPOSSIBLE IS RICHNESS. LISILO WEZEKANA NDIO UTAJIRI The problems is that the rich man is not yet a rich and a poor man is not yet a poor. Hayo ni maneno kutoka kwenye kitabu cha rich dad and poor dad cha Robert kiyosaki. Jambo ambalo linaonekana haliwezekani ndilo lenye siri ya unapotaka kuwa...
 15. Miss Zomboko

  Kagera: Amuua Mama yake mzazi baada ya Mganga kumwambia apeleke damu ili kuongeza utajiri

  Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama yeke mzazi kwa kumkata shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya mganga wa kienyeji kumtaka kupeleka damu ya mama yake au ndugu yake wa karibu ili...
 16. L

  Utajiri bila soko ni ujinga

  Marekani na China Ni nchi Matajiri Sana lakini kila moja inaitegemea nyingine. Marekani anazalisha Sana na anaiuzia China, China pia anazalisha Sana na anaiuzia Marekani. Sisi hatuzalishi chochote Cha kiwandani Cha kuweza kuwauzia Mabeberu, Wala hatulimi Sana kushinda hata India China na...
 17. Intelligence Justice

  Mali iliyoko Singida ni utajiri kwa watu wake na Taifa

  Wakuu, Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida 1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege. 2. Zao la...
 18. Chizi Maarifa

  Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

  PART I Katika harakati za kutafuta maisha kuna mengi sana ambayo wanaume tunapitia. Leo ntawaelezea visa na mikasa ambayo nlipitia toka nimemaliza kidato cha nne mwaka 1995. Mambo haya yametokea nikiyaona na pia nikihusika. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto 7. Nikiwa na dada...
 19. Cvez

  "Linda utajiri wako, ogopa umasikini " Mzee Abdul

  Kauli hii wanaume tuiweke katika sehemu salama zaidi katika vichwa vyetu. Maneno ya mwisho ya Mzee Abdul kumuasa aliyekua mwanae kuhusu maisha.
 20. Sky Eclat

  Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

  Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
Top Bottom