Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!