hali ya maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Sengerema hatujalipwa posho za kujikimu, hali ya maisha imekuwa ngumu

    Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ilikuwaje wakati wa ujamaa wa Nyerere?

    Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi. Humu jukwaani wapo wengi wakiishi wakati wa Ujamaa wa Nyerere. Tusimulieni hali ilikuwaje Ili tusije poteza...
  5. PLOII

    JamiiForums Tanzania Watanzania & viongozi wetu , we must come together, hali ya maisha ni mbaya vijana are roaming around their ghetos with no serious deal

    To all it may concern. Niende kwenye Mada, Kumekuwa na stories nyingi Sana oooh uchumi umepaa Kwa sasa we do better compared to USA & European Countries. In real sense it can't happen to be over those countries, the countries arrange & decide the price of your raw materials. Tukiachana na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Muda huu upo kazini kuna mtu amekaa anapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi!

    Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi. Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya Maisha ilivyo mtaani

    Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
  9. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha kwa wananchi ni ngumu kweli!? Ama tulizoea Dezodezo

    Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea. Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo). Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
  10. FK21

    JamiiForums Tanzania Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Wana MMU, Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda. Wengine...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Nitaandaa muswada wa kisheria kila kiongozi mwanasiasa alipwe kutokana na Hali ya maisha ya mwananchi wa wa kawaida yalivyo!

    Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo: Hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani

    "Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao. Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa. Hali ni ngumu sana. Walevi wa pombe kali wanajifariji
  16. opondo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

    Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)... huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuko hapa? Nini kimetokea baada ya Waafrika kuchukua mamlaka?

    Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu kwa mtu kujifunza na kukua. Jambo lililowazi na muhimu, katika zama zote hizi, ni 'Kukua'. Hii...
  18. marehem x

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mchele Maharagwe. Mafuta. Unga Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama. Hali mbaya wengine wakichota billions
  19. Quartz360

    JamiiForums Tanzania Je, hali ya maisha ya Tanzania kwa sasa haitoi nafasi kwa mtu kuanzia chini hadi kuwa billionea?

    Habarini wanajukwaa. Kwa namna hali ilivyo katika nchi yetu imekua ni changamoto Sana kwa mtu kuanza "from Zero to Hero" Jambo linalofanya watu wengi wanao hustle kuamini kuwa mazingira si rafiki kwa wao kufanikiwa yaani kuwa self-made Billionaires ukiwatoa wale talented people ambao kwao...
Back
Top Bottom