Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

Jerry Farms

Member
Jul 18, 2022
45
36
Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
 
Sijakusikia vizuri umesema?


Apewe kipaumbele nanani?. Wakati maamuzi ya wananchi hayasikilizwi. Huku kwetu Bora liendetu, kiongozi akichaguliwa anatia Pini kujilinda ufedhuli wake.
Wao wapo kwaajili Yao sio kwaajili yetu. Stupid readership
 
Back
Top Bottom