vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Msajili wa Vyama fungia Vyama vya Upinzani ambavyo havionekani vikifanya Siasa Field

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mwito mzito kwa Baraza la Vyama vya Siasa pamoja na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua za kufuta vyama vyote vya siasa ambavyo havina utendaji unaoonekana kwa wananchi kule nyanjani (field)...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia

    Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa Kughaili kushiriki uchaguzi sio njia ya kirafiki ya kupigania demokrasia. Inataka muda kwa mtu yeyote kuachia usukani. Inataka mkakati wa kiiufundi. Ni safari ndefu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani kupanic na kughadhabishwa na mabadiliko ya makatibu wakuu wa CCM wa mikoa yote Tanzania, kuna toa ujumbe gani kwa Taifa?

    Je, hii ni ishara kwamba viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, walio ghadhabishwa na mabadiliko hayo, wana maslahi na CCM, au nao ni wanachama wa ccm, lakini wako upinzani kiana au kwasabau ya njaa tu? Maana sote ni mashahidi humu jukwaani, namna ambavyo wanachama wa...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

    Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao. Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari...
  5. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya upinzani vikifutwa alafu ikabaki CCM tuu. Na raia wote tukiunga mkono

    Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu utakuwepo
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Vijana wa Vyama vya Upinzani Wamtumia Pole Rais Samia Kufuatia Kifo cha Mumewe

    Umoja wa Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani nchini umemtumia salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe, Marehemu Hafidh Ameir Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja huo, Masoud...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema na wapinzani wengine nadhani mmeona wenyewe kuwa CCM si Mali ya mtu ni Mali ya watanzania

    Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE. Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea. Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado haijapata vyama vya upinzani sahihi, vilivyoko ni vya harakati na watafuta riziki

    Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na Prof. Kitila. Wananchi wamekosa imani na vyama Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama CCM imechoka na vyama vya upinzani vimechoka miaka 30 havijatawala

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amepuuza madai yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba vijana wameichoka CCM na kwamba chama hicho kinaendesha nchi kwa mazoea. Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila vyama vya upinzani ni empty

    Tanzania bila vyama vya upinzani ni empty kabisa
  15. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CCM Ni utamaduni, ukilelewa kwenye vyama vya upinzani hutapaweza!

    Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa. Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM. Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
  16. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Kombo waalike hao Maseneta wa Marekani na pia wapewe fursa ya kuonana na vyama vya upinzani!

    Ni jambo jema kuwaalika Maseneta wa Marekani ili waje wafanye uchunguzi wao kuhusu yaliyotokea October 29 na mengine mengi yanayolalamikiwa na wanasiasa wa upinzani, wanasheria na wanaharakati. Muhimu Maseneta watakaokuja wapewe fursa ya kuonana na makundi yote ya kijamii na isije kutokea...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kukosa agenda kwa vyama vya upinzani nchini, kumewasababishia Udumavu wa kisiasa

    Na hiyo huchangiwa zaidi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%, hali ambayo huwakosesha kabisa vyama vya siasa vya upinzani nchini agenda. Matokeo yake hali hiyo ni kwamba wapinzani wanaonekana kama matapeli tu wakisiasa wanapokua kwenye medani za siasa nchini. Hata hivyo, kukosa...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

    Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine" Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania.
Back
Top Bottom