maskini

Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Miyorgirl: Mwanaume maskini ujue hata akili hana siwezi kuwa naye

    Muigizaji na mwanamitindo nchini, Miyorgirl, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli zake tata alizozitoa hivi karibuni wakati wa mahojiano na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo ameweka wazi vigezo vyake vya mahusiano na msimamo wake wa kutotaka ndoa kabisa...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania sisi ni masikini au hatujui njia sahihi ya kupambana nao, huko Instagram kuna vituko

    Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule...
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu softcopy henoko(biblia hakipo), baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli. Bei 10,000

    Nauza vitabu softcopy /nakala laini vimetafsiriwa kiswahili WhatsApp 0756704145
  5. Powder

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi na ya Kiunabii kwa Nabii David Richard: Kuhusu Mifumo ya Sadaka za Ulinzi (Covering) na Ustawi wa Maskini Kanisani.

    Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu. Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania NICOLE JOY BERRY ATOA ONYO KALI: Ni bora niwe Single kuliko kudate na Maskini

    Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa...
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  8. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF

    Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF..na vitabu vifwatavyo WhatsApp: 0756704145
  9. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni ukosefu wa fikra sahihi

    Mtego uko hapo. Umasikini ni ukosefu wa fikra sahihi.
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video ,Dada Anae trend Mitandaoni Kwa Kuichapa Lugha ya Malkia Vyema na Kuipaisha Tanzania Kwa Majibu Yale maskini.

    My Take Ameeleza Kwa kujiamini na Yuko smart 🔥🔥
  12. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

    Kama huna chakula usilete njaa zaidi duniani
  13. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Kama bado maskini punguza kusalimia watu

    Siyo kila unapopita brother habari yako au kila siku unampgia mtu simu unamwambia nilikuwa nakusalimia kumbuka SALAMU YA MASKINI INACHUKULIWA KAMA OMBA OMBA
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

    Kila kitabu bei 10,000 nicheki WhatsApp 0756704145
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Masikini anatamani kila mtu awe masikini

    Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli. Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia. Ila huu ukamataji 🙌🙌
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

    Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
  18. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado ni maskini ikiwa imejaliwa raslimali nyingi kiasi cha kutosha

    Salamu kwa wote. Bado naendelea kutafakari ni namna gani taifa litaondoka kwenye huu umaskini na ufukara ukiopo kati ya wananchi dhidi ya utajiri wa rasilimali zake. Kwa mfano nchi ya Luxembourg ina square km 2,600 nchi nzima na ni moja ya nchi tajiri zaidi duniani . Kwetu Tanzania mwambao...
  19. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

    Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu. Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri MASKINI 1.Matajiri Ni Mafisadi 2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga 3.Matajiri Ni Freemason 4.Matajiri Wameachiwa Urithi 5.Matajiri...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wengine Wanatajirika Haraka, Wewe Ukibaki Maskini? (Soma hapa ufahamu)

    Habari wadau, Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo. Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani? Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
Back
Top Bottom