Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema?

Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa?

"Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikujazie mafuta kwenye gari na kukulipa mshahara alafu umtangaze Mgombea wa upinzani kuwa ameshinda."

Twende kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom