mwananchi

Mwananchi Communications Ltd is a company based in Tanzania. Mwananchi Communications Ltd, engages in the print media and radio, and is the publisher of Tanzania's leading daily newspaper, Mwananchi (in Swahili), and others such as The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi Jumapili, and Mwanaspoti.
The executive editor is Bakari Steven Machumu and the Mwananchi daily managing editor is Frank Sanga. Abdul Mohamed heads Mwanaspoti in Tanzania and Kenya. Sanga is regarded as the sports journalism guru in the region. His influence in sports led Kenyan media to start sports newspapers, such as Sports On and Game Yetu.Thomas Mosoba is the managing editor of The Citizen Daily, which has contributed much to socio-economic changes in Tanzania and in the region as well.
The company was established in May 1999 by Ambassador Ferdinand Ruhinda as Media Communications Ltd. But in April 2001, a new business was established (Advertising Agency & Public Relations) and a new company was formed—Mwananchi Communications Ltd. In the very same year Mwananchi Communications Ltd was acquired by the Nation Media Group (NMG), which is based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwananchi wa Mkwajuni amkumbusha Mbunge Ado Shaibu Ado ahadi ya Waziri Mkuu kuhusu ng’ombe

    Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu. Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Linda Mwananchi yamtaja Sifuna kuwa Mgombea wake wa Urais 2027

    Harakati za kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027 zimechukua mwelekeo mpya baada ya Linda Mwananchi kumtaja Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais. Uamuzi huo ulifikiwa Jumamosi, Septemba 26, wakati viongozi wa harakati hiyo walipokutana katika kikao cha uongozi na kusema...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Sheria Hutungwa Kenya: Mwananchi Ana Nafasi Gani?

    Sheria nyingi tunazofuata nchini Kenya hazitokei tu kama uamuzi wa viongozi. Katiba ya Kenya inaweka utaratibu maalum wa kutunga sheria, huku Bunge na wananchi wakiwa na nafasi muhimu katika mchakato huo. Mchakato huanza wakati Mswada (Bill) unapowasilishwa Bungeni. Mswada unaweza kuanzishwa na...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ardhi msaidizi Manyara akabidhi hati kwa mwananchi

    Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite, Kwaraa, Mjini Babati, kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 3, 2026
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

    Kaka Mwaipaya habari. Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Polisi wamfunga pingu mwananchi na kumuacha aendenazo nyumbani

    POLISI WAMFUNGA PINGU MWANANCHI NA KUMUACHA AENDENAZO NYUMBANI. Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Giles George Mkazi wa Wilaya ya Nkasi amelalamika kufungwa pingu na askari wawili wa Jeshi la Polisi (Majina Kapuni) kwa siku tatu, kuanzia Jumamosi Septemba 19 hadi Jumatatu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mtupe vibali tukauze mahindi nje ya nchi

    Wakulima wa Mahindi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamesema kutokana na kukabiliwa na hatari ya kupata hasara kutokana na kukosekana kwa maghala ya kuhifadhi mahindi wanaiomba Serikali kuchukua hatua za haraka ili kutatua hali hiyo. Wamesema hayo baada ya kufika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Video: Askari akivutana na Mwananchi

    Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi. Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa wanalazimisha mwananchi huyo kuingia kwenye gari lao.
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia

    Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Taarifa iliyotolewa Ofisi ya Rasilimali watu MCL imethibitisha kutokea kifo cha King Kinya...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mlinzi adaiwa kumpiga risasi mwananchi Morogoro

    Mlinzi wa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Kata ya Kihonda Magorofani, Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kumpiga risasi mwananchi aliyekuwa ameegesha gari katika eneo la kituo hicho. Kwa mujibu wa mashuhuda akiwemo mwandishi wa TBC, mwananchi huyo alikuwa ameegesha gari katika eneo hilo kwa...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya Kenya ya 2010 yatimiza miaka 16: Je, imebadilisha maisha ya Mwananchi wa kawaida?

    Kenya leo inaadhimisha miaka 16 tangu Katiba ya Kenya ya 2010 ilipotangazwa rasmi tarehe 27 Agosti 2010, chini ya uongozi wa Rais wa wakati huo, Mwai Kibaki. Katiba hiyo ilileta mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala nchini, ikilenga kupeleka mamlaka karibu na wananchi, kulinda haki zao na...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka Mitano ya Gharama ya Maisha: Mwananchi anabaki na nini?

    Kwa miaka mitano iliyopita, mwananchi wa Kenya ameshuhudia gharama ya maisha ikibadilika kwa kasi. Kuanzia sokoni hadi kituo cha matatu, kiasi cha pesa kinachohitajika kukidhi mahitaji ya kila siku kimeongezeka. Takwimu za Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) zinaonyesha kuwa inflation...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Paying your staff on time doesn't mean your payroll is compliant. Here's what most Mwananchi Logistics Ltd miss.

    Mwananchi Logistics Ltd had never missed a salary payment in five years. Every employee, every month paid in full and on time. To the HR manager, Neema was proof enough that payroll was under control. What Neema didn't realize was that managing payroll isn't just about paying salaries and wages...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

    Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia. Hizi aibu kwa jeshi hili...
  16. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Hii siyo Siasa tena, huu ni Uhalifu dhidi ya Uhuru wa Mwananchi

    Kumteka mwanachama wa CCM kwa sababu amethubutu kuikosoa serikali na chama chake ni ishara ya hatari sana kwa demokrasia yetu. Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili Mwananchi ana haki ya kusema ukweli. Mwanachama...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Fred ngoma ni mwananchi

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU LONDON BOY
  18. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Anayendelea kuchafuka ni samia, alie rahisi kushawishika ni mwananchi, anaejua anachokifanya ni Nchimbi

    Mitazamo mitatu 1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa kizimkazi: i. hapa Samia anaendelea chafuka na raia wanazidi kumchukia, ii. Nchimbi anasimamia prosperity...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
Back
Top Bottom