kampeni

 1. joto la jiwe

  Uganda: Waliokufa kwa maandamano waongezeka, Jeshi latoa tamko

  Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo. Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
 2. beth

  Mugisha Muntu asitisha kufanya kampeni hadi wapinzani waliokamatwa waachiwe huru

  Mgombea Urais wa nchi hiyo, Mugisha Muntu amesitisha kufanya kampeni zake mpaka Wapinzani wengine waliokamatwa jana watakapoachiwa Muntu ametaka Mamlaka kuwaachia huru Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine na Patrick Amuriat waliokamatwa kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye harakati za kampeni zao...
 3. Replica

  Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

  Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake. Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
 4. J

  Membe hajafanya kampeni lakini kawa namba 3, CHADEMA nendeni na Benard Kamilus Membe mwaka 2025!

  Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa. Membe ni wa...
 5. Erythrocyte

  Sisi Watanzania Tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

  Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa...
 6. Miss Zomboko

  Burkina Faso yaanza Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa November 22

  Rais wa Burkina Faso Roch Marc Chrstian Kabore, amezindua kampeni yake ya kugombea mhula mwingine madarakani, akiahidi kuimarisha usalama na amani nchini humo. Burkina Faso imekuwa ikikumbwa na mashambulizi kutoka kwa makundi ya wapiganaji kwa mda wa miaka mitano sasa. Akihutubia wafuasi wake...
 7. T

  Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

  Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
 8. Jelavic

  Tundu Lissu kwenye kampeni zako ulimkumbusha Rais Magufuli juu ya ahadi yake aliyoitoa Singida kuitekeleza kabla ya 2020, amekusikia ametekeleza

  Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
 9. Sky Eclat

  Uchaguzi 2020 Aliyoyatamka kwenye kampeni yote yametimia, kwanini asiapishwe?

  Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata diwani, mbunge na Magufuli wa CCM. Ni kwanini tupate tabu tena kuhangaika na uchaguzi 2025. Hizi pesa...
 10. Securelens

  Asanteni Watanzania kwa kura zenu, asanteni wote waliopigia kampeni CCM hapa JF na kujibu hoja mbalimbali

  Kwa namna ya kipekee nawashukuru sana watanzania wenzengu kwa kuipa CCM ushindi wa kimbunga kama tulivyowaomba. Naomba pia kwa namna ya kipekee kuwapongeza na kuwashukuru sana wote tulioshiriki nao hapa JF kuipigia kampeni CCM na kujibu hoja mbalimbali zilizojitokeza. Watanzania wamezungumza...
 11. 2019

  Uchaguzi 2020 Maana halisi ya "Hata tusipofanya kampeni tutashinda" ndio hii

  Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama. Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari kwa lolote. Miaka 5 imepita JPM kajitahidi kurudisha mioyo ya watu na kufanya mengi watu...
 12. jingalao

  Kampeni ya kimkakati ya Dkt. Magufuli kanda ya kaskazini imelipa

  Rais Magufuli aliipa njaa kaskazini na akaiacha ikiendelea na kampeni ndogondogo zilizolenga kuwasogeza wapiga kura karibu na CCM, hatimaye akaenda kufunga kazi masaa 72 kabla ya uchaguzi na kuwaacha CHADEMA wasiwe na la kufanya au waelekeze nguvu zao Dar kujibu mashambulizi. Hivyo hadi...
 13. Lizaboni

  Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

  Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho. Kwenye kampeni zetu wagombea wetu...
 14. M

  Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

  Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
 15. Roving Journalist

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
 16. Kabende Msakila

  Uchaguzi 2020 Dkt. John Pombe Magufuli, Adv. Tundu Antipas Lissu, Maalim Seif Sharif Hamadi, Dkt Hessein Ally Mwinyi na wagombea wengine - hongereni kwa kampeni

  Waheshimiwa:- Dkt. John Pombe Magufuli Adv Tundu Antipas Lissu Maalim Seif Sharif Hamadi Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na Wengine - Salaam za 28/10/2020!!! Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
 17. BAK

  Uchaguzi 2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

  Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
 18. Erythrocyte

  Uchaguzi 2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

  Hii ndio habari mpya inayozunguka Mjini Mbeya kwa sasa
 19. Roving Journalist

  Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

  Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
 20. Securelens

  Uchaguzi 2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

  Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo. Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
Top Bottom