mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Mdomo Tupu ni Sawa na Mchawi Mnafiki!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, mchawi huogopwa kwa sababu ya hulka yake ya unafiki, mwenye uso wa tabasamu mchana, lakini usiku huwaza maangamizi kwa wengine. Ni mtu anayeishi kwa kutegemea uongo, siri, na usaliti ili kufanikisha malengo yake binafsi. Hali hii inazidi kuakisiwa kwenye taswira...
  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa ukiwa kiziwi,usijipe upofu na ububu pia!

    Madaraka hulevya, na madaraka makubwa hulevya zaidi. Bahati mbaya ulimwenguni pote, madaraka ya kisiasa ndiyo madaraka Makuu kuliko madaraka mengine yoyote yale! Wanasiasa wamepewa madaraka ya kuamua vita, kutoa amri ya kunyonga na kutunga Sheria za kila aina. Kwa kifupi wanasiasa ndiyo wana...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba SC itoke hadharani ijitenge na imkemee huyu mwanasiasa

    Kuna video clip nimeiona jana ya mtu ambaye inasemekana ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, anayejulikana kama Manjale akiitumia timu ya Simba na mafanikio yake kukinadi chama chake. Hii video inatia kichefuchefu maana huyu bwana anaongea kama vile yeye ni kiongozi pale Simba...
  6. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Siyo kila mwanasiasa ni kiongozi

    Makala ya Kitaaluma Na Alloyce, P.R. Utangulizi Katika historia ya siasa za Afrika na duniani kwa ujumla, mara nyingi jamii imekuwa ikiwachukulia wanasiasa wote kama viongozi. Mwelekeo huu umekuwa na athari mbaya kwa maendeleo ya kidemokrasia, utawala bora, na ustawi wa wananchi. Wakati...
  7. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Vituko vyao havielezeki.

    Mheshimiwa Lema alikishiriki mazishi ya Mbwa huko mkoani Arusha, mwaka 2017.
  8. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa la Anglikana Kenya apiga marufuku Wanasiasa kutoa hotuba madhabahuni wakati wa ibada

    Kanisa la Anglikana la Kenya (ACK) limetangaza kuwa kuanzia sasa, hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kupanda madhabahuni kuhutubia waumini wakati wa ibada za Jumapili au matukio yanayohusiana na ACK kote nchini. Tangazo hilo linaelekeza kuwa mwanasiasa yeyote atakayehudhuria ibada ya Jumapili ya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

    Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu. Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam. Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umaskini jeuri katika siasa hupelekea mwanasiasa kujidhulumu hadi uhuru na haki zake za msingi kikatiba na kuambulia hasara kwa kujitapeli mwenyewe

    Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au kasoro katika uongozi wa taasisi za kisiasa au afya ya akili hususani kwenye siasa. Kwa mfano hapa...
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa na Siasa

    Siasa ni Nini? Siasa ni mchakato wa kuongoza jamii kupitia maamuzi, utungaji wa sheria, na utekelezaji wa sera. Inahusisha watu binafsi na makundi yanayoshindania mamlaka na ushawishi juu ya rasilimali, utawala, na masuala ya umma. Kiini cha siasa ni uwakilishi na harakati za kushinda mamlaka...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

    Wadau hamjamboni nyote? Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana! Ukweli ni kuwa Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwanasiasa Gani alikuwa na Kingereza kizuri Kama B. Mkapa

    Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
  15. Intricate

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanasiasa Tanzania wa kuweza kumkabili Rais kama hivi?

  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Lisu na yeye ni mwanasiasa

    Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA. Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema Maslahi yake na familia yake. Sio kulamba bali hata kunywa asali
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

    Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania. Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni mwanasiasa au mtumishi wa serikali?

    Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa. Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

    Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM. In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
Back
Top Bottom