umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUWAFAHAMU VIONGOZI WA UMOJA WA MATAIFA (UN) TANGU KUANZISHWA KWAKE✍️🌍🇺🇳

    👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kushughulikia changamoto...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uimara na umadhubuti wa CCM unatokana na umoja na mshikamano uliopo miongoni mwa wanachama wake na waTanzania wote kwa ujumla.

    Na hiyo ndio siri ya kustawi na kuimarika kwa nguvu ya CCM kila uchwao, tofauti na upinzani wa Tanzania ambao udhaifu wao kiujumla, unatokana na chuki binafsi baina yao, uhasama baina yao, migawanyiko baina yao, tamaa, ufisadi na uchu wa vyeo na madaraka miongoni mwao, kitu kinachowafanya...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUDUMISHE UTAMADUNI, TULINDE AMANI, TUJENGE MARIDHIANO. UMOJA WETU NI NGUVU YA TAIFA LETU.

    Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wazazi na Wanafunzi wa shule ya msingi Umoja, iliyopo Mabibo Farasi tunateseka kwa michango

    Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili kuona jinsi wazazi na watoto wanavyoteseka. Kwa mfano, mzazi mwenye watoto wawili shuleni hapo...
  9. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Ombi: Tujumuike na kuwajibika kuenzi umoja wetu watanzania

    Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini. Katika...
  12. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanachama za SADC wahimizwa kuwa na umoja wenye malengo kukabiliana na changamoto zenye madhara ya Kiuchumi

    Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo zitakuwa na madhara makubwa katika usalama na uchumi wa nchi wanachama. Hayo yamejiri Julai 16, 2026...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Machief: Mbeya atakayeandamana atakuwa halali yetu

    Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hivi, Team Samiah (Russia, China na Umoja wa Falme za Kiarabu na washirika wake)vs Dkt. Nchimbi (USA, European union, Israel, Vatican) nani atashinda?

    Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

    ⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya...
  20. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Umoja wa waarabu wanawanyanyasa MaShia kwa kuwafunga, kuwafukuza na kufunga misikiti yao. Hili halitavumilika. Laana za Allah ziwe juu yao

    MAADUI WA WAFUASI WA AHLUL BAIYT WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWA KUKAA UCHI. Umoja wa kiarabu washenzi wa kiwahabi Saudia, Qatar, Bahrain, UAE na Kuwait wenye asili ya Kiyahudi wameanza kuwafukuza Mashia kwenye nchi zao, kutaifisha mali zao na hata kufunga misikiti yao. Ukweli ni kuwa wanarudisha...
Back
Top Bottom