Kila anayetetea Haki, Amani, Umoja na Maendeleo Automatically anaungana na Chadema hata kama sio Mwanasiasa

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,138
20,297
Ndugu zangu habari za leo.

Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema.

Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii.

Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki, Amani, Umoja na Kusisitiza Maendeleo kwa watu wote.

Halii hii imewakumba watu wengi kuwa Labbelled kwamba ni Wanasiasa wa Chadema hata kama hawana mremho wowote wa kisiasa.

Mwanzoni mwa Utawala wa Rais Samia tulishuhudia wanazi wa ccm na mafisadi wakimtuhumu kuwa amefunga mkataba fulani na Mbowe na wengine kudai kuwa huenda Rais Samia ana mipango ya chini ya Kapeti kuipannafasi Chadema.

Hii ilitokanana dalili za awali za Mh Rais kuonesha mwelekeo wa Haki,Amani na utulivu.

Wengine wakadai Rais Samia ana urafiki wa Muda mrefu na Mh Tundu Lissu hivyo wanafanya wanachokijua.

Kiukweli watu wengi wenye roho za kutu walikereka huku sisi wapenda haki tukiwaimbea na kuwabariki.

Ikaja Maaskofu waliotetea haki wakaitwa Wanachadema.

Wananharkati woote wa kutetea haki za binadamu na raia wanaitwa Wanachadema.

Mashkhe pia wanaotetea matumizi bora ya Rasilimaliza Taifa wanaitwa hivyo.

Chadema ni tunda lililo bora, usipolila utalinywa juice

Hongera Askofu Malasusa kwa kuchukua Kiti Tena.

Ungana na Watu wenye mapenzi mema kudai haki, uhuru na maendeleo.
 
Back
Top Bottom