Lissu ni mwanasiasa mzuri, nitahama CCM kumfuata akitua ACT-Wazalendo

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
1,403
954
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake, hali ya ushawishi wa Lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go Lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
 
Atakiongezea wigo wa ushawishi kwenye majimbo kadhaa. Ila hatoweza shinda uraisi kupitia ACT. Hata kura ya macho mimi kama mimi sitompigia 2025. mtu pekee anaweza chukua uraisi kupitia ACT in years to come though no easily possible ni yule jamaa Zitto kabwe labda na January Makamba kama amaweza toka CCM. I assure you.
 
Ushawishi wa Lissu hauna tofauti na Dr Slaa. Zama zao zimepita.
 
Atakiongezea wigo wa ushawishi kwenye majimbo kadhaa. Ila hatoweza shinda uraisi kupitia ACT. Hata kura ya macho mimi kama mimi sitompigia 2025. mtu pekee anaweza chukua uraisi kupitia ACT in years to come though no easily possible ni yule jamaa Zitto kabwe labda na January Makamba kama amaweza toka CCM. I assure you.
Kweli siasa ni hesabu, tujipe muda tu
Lkn Zitto mimi binafsi simeuelewei, ngoja tuone
 
Lissu hana haiba ya urais na ana upungufu wa busara kichwani. Abaki kuwa mwanaharakati. Mbowe ana haiba na busara za kuweza kuwa Rais ila tatizo ni ubadhirifu. Akiwa Rais atahamishia hazina kijijini Nshara, Machame.
 
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025,ninaamini kabisa kama mungu akituruzuku uhai lissu akiungana na akina Ismail Jussa,Lema,Babu duni,Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake,hali ya ushawishi wa lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
Kwamba siraha za CCM kwa maana ya Nec,policcm na nyinginezo hazitatumika?
 
Uongozi mpya ACT wazalenfo naona mnahaha Kila Kona Kwa mbinu kafir za propaganda za Kila Namna kusaka majina makubwa yajiunge ACT wazalendo .Mlimlaghai Membe ulaghai wenu unatosha
 
Back
Top Bottom