bahati mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  2. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nimenunua vocha ya 50,000 kwa bahati mbaya

    DFPEB1IXRZ Imethibitishwa. Tsh50000.00 imetumwa kwa J4U M-PESA tarehe 25/6/26 saa 4:38 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh27,824.24. Nilikuwa naunga bundle la wiki 2 la 5000 ila cha ajabu nimezidisha 0 moja. Wakuu imeniuma sana.
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

    Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na maneno yake. "KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tulipata bahati mbaya

    Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli. Samia kiitikadi ni mbinafsi mpenda kujilimbikizia mali kwake na jamaa zake, mwenye upendeleo wa...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Salio lako ndio huamua kama Serikali ni nzuri au mbaya

    Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi? Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

    Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

    habari Natanguliza shukrani nauliza kama wataalamu mtatusaidia.
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Umesha jiuliza ikitokea mpenzi wako amefariki ndani kwako kwa bahati mbaya na ukizingatia kua uhusiano wenu sio rasmi ni nini utafanya ??

    Umesha jiuliza ikitokea mpenzi wako amefariki ndani kwako kwa bahati mbaya na ukizingatia kua uhusiano wenu sio rasmi ni nini utafanya ??
  10. Candela

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa mauaji ya Oktoba 29 hayakuwa kwa bahati mbaya

    Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo. Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika...
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  12. albab

    JamiiForums Tanzania Heche na watanzania yanayotokea sio bahati mbaya

    Salaam... Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29 Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sasa naamini kuna watu ni wa bahati mbaya

    Imagine kila unachokifanya hakiendi, tumia akili to the maximum, piga kazi sana lakini wapi.... We dunia kwani umechagua watu wa kufurahia maisha? Dunia ulaaniwe kabisa.
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna asilimia kubwa mtoto wa kiume kuwa chapati pale anapokosa father figure ktk malezi na bahati mbaya mpira wa singomaza unarushwa kwa wadada pekee

    Sawa, wadada wamekuwa kisirani sana ila vidume nao wamekuwa wakaidi sana. Sawa, wadada wamekuwa mayai sanaa ila vidume nao wamekuwa wadhaifu kupindukia. Mtoto anaishia kujifunza solution za maswala ya upande mmoja wa kike, mara nyingine ataenda kuishi na dada ya mama yake alie singomaza pia na...
  15. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu). Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  17. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Changamoto na mitihani unayopitia haipo kwa bahati mbaya

    Hello wana JF; Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine, Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu. Sote katika Binadamu tunapitia changamoto mbalimbali, na kila mmoja ana changamoto yake anayoipitia, wapo...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Msidhani wasomali wajinga kupigana,ni bahati mbaya tu wana viongozi kama Hersi

    Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku. Nafikiria jambo sahihi watakalofanya TFF ni kufuata kanuni kwa sasa bila kupindisha.Lakini matokeo ya wao kufuata kanuni,nina...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu dhidi ya Ukraine, Gaza, DRC na Sudan, ana bahati mbaya

    Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning. Yaani washindwe kutatua...
Back
Top Bottom