msiba

 1. GENTAMYCINE

  Mliomuona 'Mkwere Original' akilia ITV kwa Msiba wa Mzee 'Matata' mniambie je, alikuwa akilia kweli au ameigiza tu?

  Mkwere Original tunaomjua na Kumuangalia mara kwa mara hata nje ya Kuigiza na kukutana nae mara kadhaa huko Mitaa ya Kwake Mbezi ya Bonyokwa Yeye kila Kitu tu hukifanyia ' Komedi ' na ni lazima utacheka mno. Nimetoka kuona Kipande cha Taarifa ya Habari ITV muda si mrefu akihojiwa Kuhusiana na...
 2. Saint Anne

  Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

  Natumaini mnaendelea vizuri. Nikiri msiba unauma jamani. Yaani maumivu niliyonayo nashindwa namna ya kuyaelezea[emoji24]. Nimempoteza mzazi wangu wakati ambao bado nilikuwa namuhitaji ,umri wangu bado ni mdogo kuweza kusimama bila baba[emoji24] Tumempumzisha tayari mzee wetu na amani ya moyo...
 3. M

  Jicho la tatu machozi ya Sabaya kwenye msiba wa Hayati Magufuli

  Ukitumia jicho la tatu kwenye machozi mazito aliyotoa aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya kwenye msiba wa kitaifa wa JPM utaelewa yule bwana pale dhamiri yake ilikuwa inaongea waziwazi si msiba tu ulikuwa unamliza ila kuna msiba mkubwa zaidi ya huo haswa juu ya hatma ya maisha yake. Mojawapo...
 4. Uzalendo Wa Kitanzania

  Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

  Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame. Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
 5. Leak

  CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

  Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige. Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya...
 6. Sky Eclat

  Kibonzo cha Kipanya: Baada ya msiba kuna ambao wanaibuka na kufungua midomo?

  Kuna anae ongelea Ranch ya Taifa kuwa imekufa as if amerudi juzi kutoka Ughaibuni.
 7. Nduka Original

  Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

  Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
 8. N

  Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

  MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
 9. B

  TANZIA Kanali Dkt. Moses Mlula afariki dunia kwa ugonjwa wa Covid 19 nchini India

  This comes in the backdrop of reports of growing number of infection within the diplomatic community in the capital. A Tanzanian official based here has become the first foreign diplomat to die of COVID-19 pandemic. The High Commission of Tanzania has announced that Col. Dr. Moses Beatus Mlula...
 10. Erythrocyte

  Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

  Hivi ndivyo ilivyokuwa
 11. Krav Maga

  Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba unapata wapi 'guts' za kutupangia 'emotions' zetu Watanzania juu ya Msiba uliotupata?

  Tena leo nakusema (nakuchana) Mubashara na kwa Uhuru kabisa kwakuwa Wewe upande wa Kabila na Mkoa ni Mtani wangu (Nyiramba na Nyaturu) na hata katika Medani za Soka la Tanzania pia ni Mtani Wewe ukiwa Yanga SC na Mimi nikiwa Simba SC. Kwanza nikuambie tu Mtani wangu Mwigulu kuwa Kibinadamu...
Top Bottom