David Bahati (born 8 June 1973) is a Ugandan accountant and politician. He is the State Minister of Finance for Planning in the Cabinet of Uganda. He was appointed to that position in a cabinet reshuffle on 1 March 2015, replacing Matia Kasaija. He is a Member of Parliament for the constituency of Ndorwa West in the Parliament of Uganda and is a member of the National Resistance Movement, the ruling party. He is chief of the Scout Board of Uganda.
Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku, amekosoa vikali ushirikiano wa kimuziki kati ya waimbaji wa Injili na wasanii wa muziki wa dunia (secular music), kauli inayojiri mara baada ya mwimbaji mwenzake wa nyimbo za dini, Joel Lwaga, kuachia wimbo wa pamoja na msanii nyota wa...
Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕
Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨
Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽
Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance.
Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will.
Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
Wakuu salama.
Tafakari kizazi Adam na Hawa kabla ya dhambi, Ebu assume walivyokula bata.
Tazama kizazi kipindi cha Yesu Kristo (Mungu katika mwili) na mtume Mohamad (mwenye kheri na utukufu) angalia watu walivyoshuhudia miujiza na matendo makuu ya Mungu.
Tazama kizazi kitakachoona mwisho wa...
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,
Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika.
Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
Kuna jambo limekuwa likinitokea kwa muda sasa, na kila ninapolifikiria najiuliza kama ni jambo la kawaida au kuna watu wengine pia wamelipitia.
Ninaishi kwenye apartment ya kupanga. Jirani yangu anafuga mbwa, na cha kushangaza ni kwamba mbwa huyo ameonekana kunizoea sana. Karibu kila usiku...
Part 01
Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza kuzoeana na watu wa huko na kuishi nao kama nilivyozoea kuishi na watu Tanzania.
Ukaribu wangu na...
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha.
Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana.
Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
Nimewasikia watu Wakisema dah huyu jamaa ana bati sana, hii ni mara baada ya kufanikiwa katika jambo fulani.
Hivi ni kweli watu wana bahati au ni kwa sababu ya kupambana
DFPEB1IXRZ Imethibitishwa. Tsh50000.00 imetumwa kwa J4U M-PESA tarehe 25/6/26 saa 4:38 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh27,824.24.
Nilikuwa naunga bundle la wiki 2 la 5000 ila cha ajabu nimezidisha 0 moja. Wakuu imeniuma sana.
Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na maneno yake.
"KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU
Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi?
Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
Khaaah!!
Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli.
Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi.
MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada...
Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake.
Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndingo, ameitaka serikali kuharakisha malipo ya fidia kwa wananchi wa jimbo lake walioathiriwa na upanuzi wa mipaka ya hifadhi ulioingia kwenye maeneo yao.
Akichangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni Dodoma, Ndingo amesema mchakato wa fidia kwa wananchi...
Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Anaona mbali. Anajua mambo sio mazuri na asipokuwa makini naye anaweza kuhusishwa na kesi ya Mama ya mauaji huko EU. Lakini anaogopa kampuni zake zisiwekewe vikwazo akashidwa kuchukuwa mikopo au yeye binafsi bank account zake zinaweza kutaifishwa za huko nje...
Habari wana JF,
Kweli nimeamini kuna wakati tunatakiwa kuheshimu mawazo yetu ya awali hasa wakati tunapojaribu kufikiria jambo fulani linalotutatiza kiuhalisia.
Katika maisha yangu niliamini kuwambali na wanaume kunaweza kunipa amani ya moyo na maisha kiujumla nikijikita katika kazi kujikimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.