mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

    Napata picha mbaya sana ya hii chuki. Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru. Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe. Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu wanashangilia kifo ni kifo tu.
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

    “Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange
  4. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

    Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Miradi kusimamishwa ili Magari yakabebe watu wa kujaza Mkutano wa Mwanasiasa

    Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata. Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika history Raila Odinga atabaki kuwa Mwanasiasa Mpinzani Bora Aliyependwa Zaidi

    GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
  8. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mwanasiasa ambaye hatumtaki ang'ang'anie kutuongoza?

    Salaam ? Nianze kwakusema kuwa nilikuwepo kipindi cha uongozi wa mkapa, kikwete na baadaye Magufuli. Viongozi wote Hawa tumewahi wabeza, tukawasema na kuwasema lakini hatukuwahi wakataa. Ni jambo la kustaabisha kwamba mnamkataa mtu lakini anatumia mabav makubwa kubaki kuwaongoza, najiuliza...
  9. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

    Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema. Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

    Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. Watanzani...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

    HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO – KIONGOZI, MWANASIASA NA MWANAMKE SHUPAVU Jokate Urban Mwegelo ni mmoja wa wanawake mashuhuri wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye amejipambanua kwa namna ya kipekee katika nyanja mbalimbali kama ubunifu wa mavazi, uandishi wa habari, uongozi, siasa na harakati za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama hutoki familia ya mwanasiasa au matajiri wa nchi hii fanya mambo mengine

    Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa. Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa...
  13. naliwe

    JamiiForums Tanzania Mkatae mkubali Makonda amezaliwa kuwa mwanasiasa ila Lissu kwenye siasa analazimisha

    Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania, Lissu hana mipango ya kesho yake, anaenda tu kama gari lililokosa mwelekeo, siasa za mtandaoni zimemponza...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!

    Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa! Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya hawa ni mwanasiasa mkongwe hapa Tanzania. Umemtambua?

    Wakuu, Kwani hii nayo inahitaji D mbili? Kwa sasa huyu ndo anatetemesha nchi. Chawa wakisikia jina lake wanakimbilia uvunguni.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

    Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania. Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc. Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania KUJITAWALA: Hatua 21 za Kuwa Mwanasiasa Mkubwa kwa Karne ya 21

    KUJITAWALA: Hatua 21 za Kuwa Mwanasiasa Mkubwa kwa Karne ya 21 Mtunzi; Robert Heriel +255693322300 Hatua ya 4: FANYA MAZOEZI YA UJASIRI WA KUJIELEZA. 4.1 Sauti Yako Ni Sauti Ya Taifa Kama huwezi kusema unachofikiri kwa ujasiri na kwa heshima, basi huwezi kuongoza taifa. Sauti ya kiongozi ni...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Mnataka tuamini kuwa mahubiri yamekosa ushawishi kwa jamii na hivyo kila mmoja awe mwanasiasa kuivuta jamii?

    Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini. Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za dini sio rejea za maandiko ya Vitabu vitakatifu bali mawazo ya kibinadamu kutoka wavaa kanzu . Hii...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Kikwete 'Kuna mwanasiasa maarufu kumzidi Samia?' Ina maana CCM wanazingatia umaarufu sio ubora wa kiongozi

    Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Katika maelezo yake Kikwete anawahoji...
Back
Top Bottom