“A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi.
Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
Maelfu ya wateja wa Kenya Power wamekumbwa na changamoto ya kushindwa kununua tokeni za umeme wa malipo ya awali saa chache baada ya hitilafu kubwa iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini.
Wateja wengi walilalamika kuwa miamala kupitia huduma za simu na majukwaa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho .
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
Wanabodi
Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu hizo za October 29, 2025 na la pili kubwa ni who ordered the killings?.
Ripoti imetoa tuu idadi ya...
Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika.
Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi soon tutawafurusha wauwaji.
Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa.
Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa kiholela ambao una mfungamano na kuungwa mkono na Serikali ya Samia.
https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9
Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini.
Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
Luka 13:32
Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’
Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, Tupishe njia za haki zisimame vyema, Ombi hilo likakataliwa...
Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali.
Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa...
Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu
Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo.
Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo.
Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
abdulkarim
bakwata
kati
maelfu
mauaji
mkono
novemba
oktoba
oktoba 29
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
serikali
serikali ya rais samia
taasisi za kiislamu
uchaguzi mkuu 025
watanzania
https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6
Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri;
Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono.
Ghasia haikuwa shida , shida ilikua ni jinsi ya kuzuia ghasia hizo, mfano ikiwa kwa sasa kuna mamia ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.