Search results

  1. Street Hustler

    Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana. Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na...
  2. Street Hustler

    Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

    Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki. Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani. Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
  3. Street Hustler

    Unaelewa Nini kuhusu hizi point?

    1. Lack of knowledge to leaders. 2. Poor governance policy in economy 3. Poor management in the system 4. Corruption 5. Woman is a tool for pleasure 6. Lack of knowledge to the community 7. Poor contract agreement between investors and the government 8. Extreme corruption among the top...
  4. Street Hustler

    Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  5. Street Hustler

    Tuige wenzetu Kenya wanavyokuja kupambana na haki za walio wengi dhidi ya serikali

    Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi? Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani? Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli...
  6. Street Hustler

    Bagamoyo sugar project ilkua biashara ya kitapeli

    Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape hilo eneo na zaid kwa Mara nyingine. Bagamoyo sugar project ilkua n biashara ya kijanja mbele ya...
  7. Street Hustler

    KERO KUU ZA BIASHARA TANZANIA: Wageni kufanyabiashara sawa na wazawa, Polisi kugeuka maafisa Kodi, TRA kushindwa kutengeneza mazingira halisi ya Kodi

    Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo. 1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
  8. Street Hustler

    TMDA CERTIFICATE: Yakazi gani dukani?

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  9. Street Hustler

    TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  10. Street Hustler

    UWAJIBIKAJI: Tra&polisi ilala, Mawaziri Biashara, Fedha na Umeme bungeni waziri Nishati na kamati bungeni

    Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa. Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa...
  11. Street Hustler

    Ndugu Jumanne Kishimba ni mtu wa aina gani haswa? Mbona ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja tofauti na tulivyodhani?

    Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au hawakuweza kujipa muda wa kulifikiria? Kwa wale tuliofika mwanza kipindi cha nyuma naamini mpaka sasa ukiwa...
  12. Street Hustler

    CHADEMA wanatamani maandamano ili waende na upepo sema ndio ivyo tena mkate umekutana na chai

    Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao. Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye...
  13. Street Hustler

    Wizara ya Habari na Taasisi mnaosimamia maudhui kwenye vyombo vya habari hasa radio & runinga hamlioni hili?

    Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia. Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
  14. Street Hustler

    NFL(Super Bowl) Halftime Show

    Ulishawahi kusikia au kuona Moja ya show kali ya muziki hapa dunian? Najua umeona ila je ya Super Bowl Halftime Show umeshatazama, hili ndio Gumzo Kila mwaka mpya unapoanza na tamati yake huwa February ya Kila mwaka. NFL Super Bowl ni mchezo maarafu huko Amerika ya kaskazini hasa katika...
  15. Street Hustler

    Wakiiona hii tumeisha!

    Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu. Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani. Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei pia n nzuri Sana.
  16. Street Hustler

    Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  17. Street Hustler

    Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa. Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili...
  18. Street Hustler

    Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  19. Street Hustler

    Wale wa civics point zetu ni zilezile hatuachi hata moja

    Poor Government policy. Poor knowledge amoung of leaders. Lack of knowledge to their people. Women are used for pleasure. Lack of capital. lete nyingine unazojua. Alafu Discuss
  20. Street Hustler

    Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
Back
Top Bottom