Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,147
4,207
Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo.

yaan utaskia hela za serikali hamzionei huruma, ooh huyu injinia achukuliwe, mara sijui nini ili mradi amuonyeshe anayemteua kuwa yupo anafanya kazi.

Sasa muda huu ni muda wa wakuu wa wilaya, wana make headlines sana.

Basi mie nabeti mkeka mpya kuanzia sasa ni wakuu wa wilaya.
 
Back
Top Bottom