Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Chalamila, kuna kituo cha mwendokasi na ukivuka barabara kuna barabara inayoelekea Keko, Temeke na n.k. Barabara hiyo pia kuna mkunjo kwenye mataa unaoelekea Kariakoo. Hapo sasa kuna wamachinga wanapanga na kuuza viatu kwenye eneo la...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta.
Soma pia: Tume...
Nimezaliwa mwaka 1997, na Ilala ilikuwa sehemu nzuri sana kwa watoto kuishi na kukua kwa sababu ilikuwa karibu na maeneo mengi ya kucheza, huku miundombinu ikiwa tayari imefika maeneo hayo.
Hata hivyo, baada ya zile kota za pale Karume kuvunjwa na kujengwa Uwanja wa Karume wa mpira, pamoja na...
Habari za muda huu wana JamiiForums!
Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kero iliyopo kwenye halmashauri yetu ya jiji la ilala.
Mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa masomo ya sanaa Mwaka 2016 kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Baada ya kuhitimu chuo niliendelea na harakati zingine za...
Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu 2026 Februari.
Nilivyoanza mchakato katika Ofisi za NSSF jengo la Benjamin Mkapa lilipo Posta ILALA...
Anonymous
Thread
boma
customer
customer care
huduma
ilalailala boma
kupata
nimefanikiwa
nssf
watoa huduma
Pale Ilala Sokoni kuna utaratibu umeanzishwa na viongozi wa soko na kutoka juu, wanataka Wamachinga au Wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wanamiliki vizimba au meza na baadhi ya maeneo, Eti wasiendelee kumiliki meza au vizimba badala yake manispaa ndo wamiliki meza za wamachinga.
Wakisha...
Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta).
Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili
Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa.
Baadhi ya waendesha pikipiki wanakamatwa bila kupewa nafasi ya kujieleza au kusikilizwa, huku pikipiki...
Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule
heka 1 kina fensi pande 3 kimepakana na barabaran kubwa za mtaa pande 3 piga 0718 408 733
hati ya serikali za mtaa
mauziano kwa mwanasheria na ngazi zozote utazotaka za kiserikari nyaraka zipo kiwanja sio cha urithi
Nauza kiwanja kivule center kabisa
Heka 1
Mil 60. Maongezi kidogo yapo
Mark ukifika Kivule Muungano pub eneo linaitwa mnarani ndio kiwanja kilipo ni eneo lililojengwa nyumba za kifahari ukipaona utapapenda.
Pako tambarare, eneo limekamata barabara kuu.
0743 257 669
Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani.
Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
Anonymous
Thread
hela
ilala
mitihani
msingi
shule
shule za msingi
walimu
watoto
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake.
Imefikia hatua mtumishi kwenda kupata huduma kwa huyu dada kuwa kama adhabu kwani na hata hiyo huduma...
Nimekuwa nikitembelea Soko la Ilala Boma kununua bidhaa za ndani kwa ajili biashara ya genge, sasa ni takribani miaka minne imepita. Kusema ukweli, soko hilo lipo katika hali mbaya licha ya kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Katika kipindi hiki...
Anonymous (1296)
Thread
halmashauri
halmashauri ya jiji
ilalailala boma
jiji
kiafya
mazingira
mazingira hatarishi
soko
ujenzi
ujenzi wa uwanja
Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa
Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo.
Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
Anonymous
Thread
ilala
kipunguni
kupisha
malipo
mashariki
mwaka
ndege
uwanja
uwanja wa ndege
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba.
Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala.
Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000.
Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
Anonymous
Thread
hawana
ilala
kuhusu
kwanza
likizo
manispaa
mikataba
mkurugenzi
namba
uongo
watumishi
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kwa uchimbaji wa visima virefu vya maji vitakavyo uunganishwa katika mtandao wa Mamlaka.
Lengo ni kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.