Wakuu,
Huko ulaya na hasa Marekani kuna pastors wengi na vijana wengi wanaojiunga na Kanisa Katoliki kuliko wakati wowote.
Ajabu kubwa wengi hakuna aliyewahubiri wabadilike bali ni kwa utafiti wao wa kina hasa historia ya kweli ya Kanisa na mafundisho ya mababa wa kale wa Kanisa na maandiko...
Habari za muda huu wakuu wa jukwaa hili,
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kukamilisha hatua ya kuezeka (kupiga bati) na nimeshaweka magrili kwenye nyumba zangu za kupangisha hivi karibuni.
Changamoto iliyopo mbele yangu ni kwamba msimu wa mvua unaelekea kuanza na bado sijaweka vioo vya madirisha...
Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea.
Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu.
https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.
Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira.
3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza
4. Njama za Madelu kutumia...
Kijana ukitaka kujiajili ingia kwenye kilimo cha bustani mazao kama nyanya,kabichi vitunguu nk. Hachana na kilimo cha mahindi ni umaskini mtupu lima mahindi ya chakula tu.
Nyanya inayopandwa mwezi wa pili mwishoni au mwezi wa tatu na kuanza kuvunwa mwezi wa sita mwishoni au wasaba ni muda mzuri...
Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026.
Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni, kwenye sherehe na hata WhatsApp status. Hilo halina ubishi.
Lakini nina swali moja:
Je, umaarufu wa...
Watu ambao hukabiliwa na msongo wa mawazo na wanaohofia au kujua jambo baya linalokaribia kuwakuta kwa kawaida ni waongeaji sana, wabwatukaji sana. Hata kama unauguza mgonjwa, siku ukiona anaongea sana na kupenda kula kaa chonjo. Huwa siyo bahati mbaya, ni namna yao kujifariji kuwa kila kitu...
Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia.
Kwa muda mrefu...
Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha
Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
Sio kawaida kwani sio wanawake,sio wanaume,sio mabinti,Wala sio vijana wa kiume Wana sema hawataki
Mitaani Kuna minong'ono mizito na ubaya ukisogea karibu ili uiskilize vizuri Minong'ono hiyo hukoma na watu Wana tawanyika sjui kwanini?
Mitaa inazungumza kwa usiri na kujificha jificha Tena...
Moja kwa moja.
Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ;
1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mpango wa kuandika barua kwa mashirika ya kimataifa Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Ulaya (EU), Marekani (US), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kikilalamikia mifumo ya uchaguzi.
Kulingana na Makamu Mwenyekiti wake...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza
Kawafanya watanzania wote wamuone mama kizimkazi kama kibaka
Yaan huo ndo ukweli hata wale kobazi wachache ambao...
Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.