Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija
Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe.
Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa.
Baada...
Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store.
Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao?
Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za...
Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia
KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake
Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru. Ndo tunavyoweza kusema.
Mkoloni aliondoka na bendera yake kushushwa ila tukapandisha bendera ya mkoloni mpya katili zaidi. Huyu sasa ametufanya tusherehekee kuwa huru kwa kutufunga kabisa hata hatua zetu.
Tunatokaje hapa sasa tusipotoka kesho kuusherehekea...
Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k.
Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake.
Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za...
Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida.
nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
Habari wakuu .
Yupo Kijana Ana hizi sifa
Miaka 18
Elimu form four Ila hakufaulu.
Uzoefu wa kazi
Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani.
Kuuza dukani
Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini .
Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana.
Waweza piga namba hii...
Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu...
Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.
Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake
Hii inaweza kuwa inamaanisha nini.
Maana napitia kipindi kigumu sana katika biashara yangu
Bado na majanga ya haya...
Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani
-Haitumii wino wala haijazwi wino
-Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote.
-Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja
Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
Yani inafika wakati hauna varieties tofauti dukani ila duka lilivyopambwa sasa, mteja akija ana shangaa shangaa tu mataa ila bidhaa hauna. Sasa ndio nini.
Inapelekea hadi wale watu wa kawaida kuogopa kuingia kwa kuhofia bei ni mkasi kwa maana goli lenyewe limekaa kama 5-star hoteli. Kumbe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.