cheo

CHEO is a pediatric health-care and research centre located in Ottawa, Ontario, Canada. CHEO is also a tertiary trauma centre for children in Eastern Ontario, Nunavut, Northern Ontario and the Outaouais region of Quebec and one of only seven Level I trauma centres for children in Canada (others being The Hospital for Sick Children in Toronto, the Montreal Children's Hospital in Montreal, the Centre hospitalier universitaire Sainte-Justine in Montreal, IWK Health Centre in Halifax, Alberta Children's Hospital in Calgary, Stollery Children's Hospital in Edmonton, and BC Children's Hospital in Vancouver). It is affiliated with The Ottawa Hospital and the University of Ottawa, and is funded by the provincial Government of Ontario. CHEO first opened its doors on May 17, 1974, and is located at 401 Smyth Road, Ottawa, Ontario.
CHEO includes a hospital, children's treatment centre, school and research institute, with satellite services located throughout Eastern Ontario. CHEO provides complex pediatric care, research and education. CHEO is a founding member of Kids Health Alliance, a network of partners.
In addition to its clinical mandate, CHEO is an academic health science centre. Each year, it provides education to 2,300 future pediatricians, nurses, and other health professionals.

View More On Wikipedia.org
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

    Ofisa wa TRA Anastahili Kupandishwa Cheo kwa Ujasiri na Uaminifu Wake Katika tukio la hivi karibuni lililorekodiwa na kuenezwa sana mitandaoni, maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) walifika kukamata gari la msanii Ommy Dimpoz kwa tuhuma za ukwepaji kodi. Wakati wa zoezi hilo, Mbunge wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Yule kingai wa Mbowe alipanda cheo akawa kama alivyo leo, usishangae katuga wa Lisu kupewa ujaji baada ya kesi.

    Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji. Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe baada ya kesi kufutwa alipewa ujaji wewe unashangaa katuga kuwa nani? Hivi wajua kingai alipanda...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo anadhalilisha cheo cha Usheikhe.

    Hamjambo! Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume. Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba . Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki anayekaangwa kwenye Mafuta ya Moto . Yaani hadi Heche Akaishiwa Nguvu za Kusimama na kuamua kukaa chini...
  6. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SAMIA : MPANDISHE CHEO IGP AWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI HALAFI WAZIRI AWE IGP AU MPELELEZI MAANA ANAFANYAKAZI ZA POLISI

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Huwezi Pata Cheo Kwa Kumpiga Shoti Mwenzio,Cheo Kinawafuata Watu Wema.Bunge Lalindima Kwa Shangwe akimuelezea VP Mteule Deo Ndejembi.

    My Take Wale wanafiki,ma snitch na wasaliti (Yuda) wataendelea kuteseka sana na vyeo wanavyotafuta Kwa kuwapiga Shoti wenzao hawatakuja kuvipata qataishia kuviona Kwa wengine tuu. Naunga mkono hoja,ujumbe umefika. https://www.instagram.com/reel/Dck4hG8sBO3/?igsi=MTYzN3EwaGZuYWdyNQ==
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukomavu wa Uongozi: Tabia au Cheo?

    ✍️Kuna jambo moja ambalo vijana tunapaswa kujifunza kwa umakini sana katika safari ya uongozi si kila mtu anayetamani kuwa mkubwa ana uwezo wa kubeba ukubwa huo. Kuwa na ndoto kubwa ni jambo jema kuwa ambitious ni jambo jema kutaka kufika mbali ni jambo jema lakini tatizo huanza pale...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mambo ya ajabu sana. Mtu mwenye cheo kama hicho anashikiwa bastola na kulazimishwa kwa nguvu!

    Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma. Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama. Afrika sio mahala salama pa kuishi.
  13. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kupata cheo/ uteuzi ni kuwa Katili

    Hapo ndipo tulipofika. Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Amteua Charles Owino kuwa Msemaji Mpya wa Serikali, Isaac Mwaura Apandishwa Cheo

    Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika uongozi wa Serikali baada ya kumteua aliyekuwa msemaji wa zamani wa Polisi, Charles Owino, kuwa Msemaji mpya wa Serikali akichukua nafasi ya Isaac Mwaura. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei, Mwaura...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Safari Leo, Nikashauriwa na Afisa wa Cheo Cha Juu wa Vyombo Vya Usalama, Nisisafiri

    Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchini uganda ukiwa serikalini au polisi unaambiwa utapandishwa cheo ukideal na upinzani.

    Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Rasilimali Watu TANESCO – Manyara anatumia cheo chake vibaya, Mamlaka za juu zichunguze

    NAOMBA UFICHUE UOVU DHIDI YA BI. NISILE MWAKALINGA - AFISA RASILIMALI WATU, TANESCO MKOA WA MANYARA Mimi ni mtoa taarifa mwenye nia njema, naomba uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Afisa Rasilimali Watu wa Mkoa wa Manyara, kwa madai yafuatayo: 1. Matumizi mabaya ya madaraka na kulipiza kisasi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Rhimo Nyansaho nje ya UCCM ni kiongozi nilietokea kumkubali, ana uchungu sana kwao, Sehemu yenye utajiri mkubwa ila maendeleo duni

    Rhimo Nyansaho kwao ni Serengeti, makao makuu a hii wilaya ni Mugumu (kwa sasa serengeti mjini) ni sehemu ambayo ukifika utajishika kichwa kwa kushangaa jinsi maendeleo yalivyo duni ilhali Serengeti ni mbuga inayoingiza pesa nyingi sana. Nimetokea kumfuatilia Rhimo Nyansaho, na niseme kwamba...
Back
Top Bottom