Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,147
4,207
Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki.

Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani.

Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme kujishughulisha hasa kwa vijana.

Ila tujiulize kesho ya taifa ipo salama kwakiasi gan angalia vijana na kamari, vijana na bodaboda, vijana na energy drinks, vijana na uzembe.

Mwisho wakurugenzi wenye dhamana ya jamii tumieni muda na maarifa yanayotakiwa kwa kesho salama ya taifa hili.
 
Death rate imepungua kwa kiasi gani kwenye taasisi anayoisimamia
 
Kifo hakizuiliki Mzee omba sana Mungu tuishi muda mrefu usio na magonjwa
Kuna vifo visivyozuilika, ila Muhimbili ilitamalaki kwa rushwa na vifo vya kizembe, je kwa nafasi yake ameleta maboresho gani kuyaepuka hayo? Ndiyo swali langu.
 
Kuna vifo visivyozuilika, ila Muhimbili ilitamalaki kwa rushwa na vifo vya kizembe, je kwa nafasi yake ameleta maboresho gani kuyaepuka hayo? Ndiyo swali langu.
Kuna inshu ya kiutendaji na kiuongozi hayo ya rushwa na vifo vya kizembe n individual issue ila kiuongozi unaona kabisa Kuna vitu amejitahid kuvifanya
 
Back
Top Bottom