nyeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Kuna baadhi wanadai ni kile chama cha majambazi lakini kiuhalisia hakina akili kubwa namna hiyo.. Maana chenyewe kiko hoi bin taaban chali kabisa Haya ni matukio yakuja na kupita Yapo Yalikuwepo Na yatazidi kuwepo Baadhi ambayo yaliwahi kuvuma sana ni Mtu joka wa buguruni TV za kumuona nwizi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu watano mbaroni kwa kuzua taharuki kuibiwa Nyeti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumzia matukio hayo, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa tukio la kwanza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kizembe kabisa Kuna watu wanaenda kuozea magerezan kwa uzushi wa kuibiwa nyeti baada ya kusababisha vifo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tangu niliposikia ukishikwa bega Nyeti zinaondoka nimekuwa Makini sana, sababu sina Mali nyingine ninayomiliki

    Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila ametoa kauli hiyo baada ya hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kusema uchunguzi uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama umebaini kuwa taharuki iliyozuka nchini ya watu kuibiwa sehemu zao za siri ni uzushi wenye nia ya kuvunja amani ya nchi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Tangu nisikie ukishikwa bega nyeti zinapotea nimekuwa makini, sina mali nyingine

    Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga. Soma pia ~ Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi ~ Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya...
  8. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kuna mikoa inawaza ushirikina tu eti kupotolewa na nyeti huu ujinga hauwezi kusikia mikoa ya pwani au yenye waislamu wengi.

    Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kujikutaga mna akili na hamuendeshwi kwa hisia, imekuaje mmekamatika kirahisi kwenye uzushi wa kuibiwa nyeti?

    Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge? Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

    Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi. Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu.. Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SACP Augustino Senga: Wanaodai Nyeti zao zimepotea Tunduma Madaktari wamethibitisha zipo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, alisema kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanya mikutano na wananchi kwa lengo la kutoa elimu na kutuliza taharuki iliyojitokeza, baada ya kuenea kwa uvumi wa kuwepo kwa watu wanaodaiwa kugusa...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya Mafuta na Ripoti ya Chande. Fungua macho Mtanganyika!

    Aweeee, Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa! Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
  13. sitagliptin

    JamiiForums Tanzania Report ya CAG na upotevu wa nyeti wanaume umegundua nini?

    Habari mi sio mtaalamu sana ila kwann ishu ya nyeti imekuja kipindi hiki? Ambapo report ya cag inahadiliwa na watanzania Wakati huu pia report ya October ikisubiliwa Kwann nyeti zimepotea tunduma kwa watukutu imefika mbeya kabwe na sasa watoto wa gaza kimara? Ukweli kuhusu nyeti huenda ni...
  14. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mtu anayedaiwa akigusa nyeti zako zinapotea azua taharuki Tunduma

    Kutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri. Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kamwe tusilogwe tukasahau agenda zetu nyeti kwa propaganda za kijinga za CCM

    GT. Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele. Tusipokuwa makini mtachezewa hapa propaganda za kipumbavu mara paaa 2030 hii hapa hakuna lolote la maana lililofanyika. Tuna...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waislam kubalini Wakristo wamewazidi katika maeneo mengi nyeti. Kama haya kisha mjifunze

    Hamjambo! 1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo. 2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi. 3. Unaweza kuingia msikitini Siku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tunaajiri polisi kwa Elimu ya kidato Cha nne, ila kwa Nafasi nyeti za kisiasa zile za juu, wananchi tusikubali

    Salaam! Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi, Sasa hili la kuajiri wagombea wa kisiasa wa Nafasi nyeti kabisa za juu wakiwa na Elimu ya kidato Cha nne failure tusirusu. Yaani...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Sio kila taarifa Nyeti inamfikia Rais

    Kikawaida kwa mujibu wa sheria Mkuu wa ujasusi wa nchi husika au wakati mwingine Chief of presidential staff anawajibu wa kupeleka taarifa nyeti na za muhimu kwa Rais. Lakini hawa hawa wakuu wa vitengo vya ujasusi kuna muda si kila taarifa watamfikishia. Na hata wakimfikishia inakuwa...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

    Angalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
Back
Top Bottom