wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CONSISTENCY

    Wakazi wa Dar es salaam kulazimika kutembea na oksijeni baada ya miaka mitano

    Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto. Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha...
  2. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  3. B

    Zanzibar: Wahindi wamwaga chozi, watolewa vitu vyao nje mji Mkongwe

    Unguja Zanzibar Kesi ya umiliki wa nyumba Mjini Zanzibar, iliyosikilizwa katika Mahakama Kuu Tunguu Zanzibar Shehia ya Mnazi Mmoja mji mkongwe Zanzibar aelezea mkasa mzima Narendra Kanji Jiwa & Rekha Kanji Jiwa v. Raza Hassanali Kassam Bachoo & Two Others (Civil Application 130 of 2023)...
  4. PureView zeiss

    Wakazi wa DAR wamshukuru RAISI Kwa huduma ya UMEME kurejea

    Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa iliyodumu kwa saa kadhaa. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema walikuwa na hofu ya...
  5. P

    Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  6. Mad Max

    Bagamoyo Day Trip: Kwa Wakazi Wa Dar & Pwani

    Poleni kwa hustling and bustling za mjini Dar. Kuna hii "day trip" ya kwenda Bagamoyo unaweza kwenda na kujifunza vitu mbalimbali. Sio mbali sana, ni kilometa 70 kasoro kutokea Ubungo, na unaweza kwenda kwa usafiri wako (karibia masaa mawili kutokea Ubungo) au ukaenda kwa usafiri wa umma...
  7. Nsanzagee

    Mradi wa Bandari ya Bagamoyo uliingia laana baada ya wakazi wake kudhulumiwa na EPZ

    Bagamoyo ni Bagamoyo tu na siyo Sehemu nyingine yoyote. Wazee wa Bagamoyo waliwahi kumzuia Magufuli kupitisha barabara kuu inayoelekea Tanga kutokea Dar isipite mjini kwa sababu barabara hiyo ilitakiwa kwanza, kubomolewa kwa nguzo moja hivi ya kimakumbusho ambayo pia hutumika kwa mambo ya...
  8. A

    KERO Dodoma, Ipagala B tunasumbuliwa na adha ya kujaa kwa maji majumbani msimu huu wa mvua

    Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua. Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka ndani na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, TARULA na mpaka zima moto kwa ajili ya kuchimba mtaro wa kuruhusu...
  9. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Beach tunapata maji ya bomba machafu, na yana harufu mbaya. Mlipuko wa magonjwa unakuja

    Habari JF, Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya. Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na tatizo hilo nikitaka kufahamu huenda ni mimi tu, naye akasema yapo hivyo na kwake pia (maji yalikatika...
  10. M

    RC Chalamila: Wakazi wa Dar kuzoa takataka ni ajira

    Wanchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuchangamkia fursa ya Takataka zilizopo kwenye mitaa yao, kwani zinaweza kuwa chanzo cha mapato na kuondokana na tatizo la ajira ambalo ni janga kwa watu wengi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati anafanya ukaguzi...
  11. Roving Journalist

    DAWASA yawapa uhakika wa huduma ya Maji wakazi wa Bonyokwa na Kisukuru

    Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo. Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
  12. Tatu

    Tatizo la maji Mjini Arusha sasa limekuwa sugu

    Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote kwa ujumla kwa hiyo suala la upungufu wa maji isiwe kisingizio. Kwa kweli hii hali haikubaliki hata...
  13. B

    KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
  14. M

    Video: Lord Eyez amdiss Wakazi, adai kuwa hajui kurap

    Rapper kutokea kundi la Weusi Lord Eyez, ameonyesha dhahiri kutovutiwa na mziki wa Wakazi na kumchana kuwa hajui kurap. Kwa upande mwengine, Show ya Wakazi hapo jana kwenye Sauti za Busara huko Zanzibar ilikatishwa ghafla baada ya kukaa kwenye stage kwa dakika 2 tu. Kabla ya kuondoka jukwaani...
  15. dalalitz

    Lord Eyez: Hata 1994 tulikuwa hatu-rap anavyo-rap 'Wakazi' sasa

    Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar. TUKIO: Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
  16. BigTall

    KERO Wakazi wa Mtaa wa Mshikamano -Mbezi Louis (Dar) hatuna huduma ya maji na Mamlaka zipo kimya

    Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024). Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu wanasumbuka kuamka mida hiyo na kukuta maji yanayotoka ni machafu balaa. Imagine kukaa mwezi mzima maji...
  17. K

    Wakazi wa kata ya Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wana katika hatari ya kukumbwa na mafuriko

    Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
  18. BARD AI

    Hitilafu ya Umeme yawakosesha Maji wakazi wa Dar na Pwani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma kutokana na hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gridi ya Taifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari 3,2024 na kitengo cha...
  19. K

    Wakazi wa Dar mnakumbuka kauli ya RC?!! Poleni kwa mafuriko!!

    Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC. Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau...
Back
Top Bottom