maudhui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  2. T

    Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  3. W

    Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya. Kampeni hiyo inatarajiwa...
  4. Eli Cohen

    Hizi movies zina maudhui ya kufanana, ipi ni bora kuliko nyingine?

    1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5: White House Down vs Olympic Has Fallen
  5. J

    JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  6. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  7. kibangubangu

    Waandishi wa habari wa Tanzania, baadhi wasivyojua namna ya kusimamia maudhui ya taarifa za viongozi wa juu kama Raisi

    Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe.... Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
  8. S

    Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  9. BARD AI

    META yapewa siku 22 kujieleza inavyodhibiti maudhui ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto

    Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023. Oktoba...
  10. Malaika wa Misukosuko

    Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  11. Replica

    Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

    Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
  12. Eli Cohen

    Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  13. BARD AI

    TikTok na X yatakiwa kuongeza kasi ya uondoaji Maudhui ya Chuki, Upotoshaji na Unyanyasaji Watoto

    Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa kuwa na kiasi kikubwa cha maudhui kuhusu Mgogoro wa #Israel na #Palestina. #TikTok imesema...
  14. Ritz

    Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
  15. R

    Watengeneza maudhui ya kimtandao walia na Kodi mpya

    Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais Ruto alipitisha sheria hiyo Julai. "Nadhani wanapaswa kupitia upya Sheria ya Fedha kwa sababu watu...
  16. Mama Amon

    Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  17. Mto Songwe

    Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
  18. Influenza

    Baada ya Senegal kuizuia TikTok, Mtandao huo waenda kujitetea kwa kueleza sera zake na namna ya inavyozuia maudhui yasiyofaa

    TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
  19. W

    Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
Back
Top Bottom