Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,144
- 4,192
Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao.
Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi hiki ambalo huko handeni maji na chakula ni shida kwa wanachi Hali ya umeme sio wa uhakika kwanini hzo pesa zisingeeda kufanya shughuli zingine za kimaendeleo?
Kama mkuu wa mkoa majukumu yake ni makubwa sana vipi anapata muda gani wa kukaa na kufikiria jinsi ya kumpokea huyo mtoto ambaye kimsingi anaenda kufundishwa jinsi ya kuwa na nidhamu awapo katika mavazi na ndani ya utumishi.
Je, mkuu wa mkoa wa tanga Hana kazi za kufanya mpaka spare muda wa kumpokea huyu mtoto ambaye saiz alitakiwa awe analelewa kitaaluma huko jeshini?
Kama mkuu wa mkoa ambaye ni mwakilishi wa Rais kwenye mkoa husika anafanya hvyo vipi huko kwa mkuu wa chuo anakokwenda je atalelewa vizuri kimaadili na taaluma Kama inavyotakiwa?
Watanzania wenye akili tupo wengi sana Ila huyu Omary Mgunda aisee hapana awajibige au mamlaka zinazohusika zimuwajibishe mapema sana ili kukomesha matumizi mabaya ya ofisi ya serikali.