Tuige wenzetu Kenya wanavyokuja kupambana na haki za walio wengi dhidi ya serikali

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,146
4,206
Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi?

Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani?

Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli, sasa shida ni nini? Hawa wanasheria wanashindwa kufungua kesi ya kupinga serikali kuruhusu DP World kupewa bandari?

TLS, Haki Ardhi, Tume ya Haki, Chama cha Mawakili, Tundu Lissu, Jebra, Kibatala, hawa wote mbona wanashindwa kutusaidia bandari yetu iwe salama?
 
Kesi imefunguliwa ipo mahakamani we unataka zifunguliwe ngapi? Wakenya wako backed up na katiba yao we jitoe ufahamu uone askari wako ambavyo wana akili nyingi yani zitafyatuliwa risasi za moto hakuna atakaye amini

Option zipo mbili: moja tumuachie Mungu au kama una ak47 lete tuingie msituni
 
Kesi imefunguliwa ipo mahakamani we unataka zifunguliwe ngapi? Wakenya wako backed up na katiba yao we jitoe ufahamu uone askari wako ambavyo wana akili nyingi yani zitafyatuliwa risasi za moto hakuna atakaye amini
...
Hyo kesi sijaisikia aisee imefunguliwa na nani na lini na katika mahakamani gani?

Hyo ya ak umenipa idea wacha na wengine waje
 
Huwez kudai ugali wakati uji ndio unapatikana lazima ukubali kwenda na mazingira yaliopo kwa wakati huo
Katiba yetu imempa madaraka makubwa Rais unaposikia Rais anakwambia kuna mhimili uliojichimbia chini zaid unaelewa nn? Tafakari. NB; Ugali unaupata pia bila ya uji.
 
Kenya wanajitambua sana kwenye maswala ya haki zao,sema kinachowaangusha ni dhambi ya ukabila tu. Ndio dhambi inayowatafuna sana kama funza.
 
Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi?

Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani?

Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli, sasa shida ni nini? Hawa wanasheria wanashindwa kufungua kesi ya kupinga serikali kuruhusu DP World kupewa bandari?

TLS, Haki Ardhi, Tume ya Haki, Chama cha Mawakili, Tundu Lissu, Jebra, Kibatala, hawa wote mbona wanashindwa kutusaidia bandari yetu iwe salama?
si uende wewe mahakamani?
 
Mbali na wanasheria wanainchi ndio mahakama ya mwisho ya kusema hapana ×3 ila wako kimya kutokana na ujinga ulopandikizwa na ccm.
 
Back
Top Bottom