Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,147
- 4,206
Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape hilo eneo na zaid kwa Mara nyingine.
Bagamoyo sugar project ilkua n biashara ya kijanja mbele ya watu wajinga haingii akilini serikali ya Sweden na wafanyabiashara wakufua umeme na Nishati mbadala baada ya kuona eneo lipo free Tanzania serikali ya Sweden ikaja TANZANIA kuomba eneo la shughuli la kilimo Cha miwa kwa maana ya uzalishaji Nishati na eneo lenyewe n bagamoyo serikali ya wakati huo chini ya Jakaya kikwete ikaanza mchakato wa kumpatia huyo mwekezaji shamba mpaka muda ulivyofika basi wakapewa hyo Ardhi na rasmi waanze shughuli zao za uwekezaji.
Ajabu n kwamba hao jamaa baada yakupewa eneo lenye 28k Hector's magharibi ya eneo lililopewa watu wa Zanzibar Sasa hao waswidn baada ya kupewa eneo wakatumia documents za eneo la bagamoyo na kwenda kuombea mkopo bank ya African Development Bank sasa hyo pesa waliyokuwa wanataka kulima miwa na kufungua viwanda kumbe walikuwa hawana.
Muda ukaenda mpaka mwaka 2017 Rais wa wakati huo Chuma John Pombe Magufuli baada ya kuwapa nafasi nyingi ili mradi ule uendelee wale jamaa wakajitoa kwenye maslai ya kuendeleza Ile project huku wakilalamika yakuwa wanapitia changamoto nyingi sana hasa vikwazo vingi ikiwa n Mawaziri wa serikali ya Tanzania Zaid ya 16 na taasisi kibao yakuwa wanawawekea vikwazo vingi hvyo wakaamua kuachana na mradi huo ndipo John Pombe Magufuli mwaka 2017 akampa Hilo eneo mwekezaji mwingine ambaye n bakrhesa "mtanisahihisha Kama nimekosea".
Ajabu eti naskia wale jamaa toka Sweden wanawashtaki watanzania ya kuwanyima hakiyao ya kuendeleza kilimo cha miwa kule bagamoyo na kutishia kuikamata ndege za TANZANIA huko watakapokutana nazo huko ughaibuni.
Swala la Ardhi ya Tanganyika kumilikiwa na wazanzibar lilishamalizwa siku nyingi sana Sasa n Mali ya Tanganyika.