Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu.
Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa...
Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Hassan Omar Ali amesema taarifa kuwa uwanja huo una changamoto ya uhaba wa vyoo ilikuwa ni mkakati wa kuchafua sifa iliyopangwa na watu wenye nia hovu juu ya eneo hilo.
Hoja ya awali ~ Uwanja wa CCM Kirumba hali ni mbaya. Watu wajisaidia...
Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana.
Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake.
Wale wajuzi wa hili swala...
Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au?
Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?;
Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
Habari zenu wakuu,
Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha.
Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani.
Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama
Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo
Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
👇🏻👇🏻👇🏻
"Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake"
https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media.
Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
Kama mada inavyojieleza
Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005
Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat
Ila ndani ya miezi 6 niliyoishi nae binti kanenepa ovyo kitambi cha maana hadi nakosa mood nae...
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel...
Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu
Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame.
Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.