wizara ya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM ipo serious na maisha ya Watanzania? Kama Wizara ya habari na Utamaduni na Michezo inapewa bil 562 halafu Wizara ya Maji tril 1.2!

    Tujiulize na kujihoji . Wizara ya habari utamaduni na michezo ina umuhimu gani kupewa bil 562? Kuwapa motisha wakata viuno na content creators? Kama Jiji kama Dar ea salaam kuna shida ya maji. Kwa nini hii wizara isipewe pesa nyingi na wizara ya Wakata viuno na wacheza ngoma ikapewa bil 100...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

    Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge Mgore: Oktoba 29 Wizara ya Mawasiliano na Habari iliweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kujua kilichokuwa kinaenda kufanyika katika nchi yetu

    Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mgore Miraji wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Mawasiliano ameitaka wizara kusimama kidete katika kukabilina na wizi wa mitandaoni. Oktoba 29 Wizara ya Mawasiliano na Habari iliweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kujua kilichokuwa kinaenda kufanyika katika nchi yetu
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Kuna watu wenye heshima kubwa kwenye jamii waliogoma kurejesha mikopo waliyopewa na Wizara ya Michezo na Sanaa

    Kupitia comment yake kwenye post yake ya leo tarehe 25/03/2026 katibu mkuu wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo amedai kuwa kuna wanufaika wa mikopo iliyotolewa na wizara ambao wamegoma kurudisha mikopo waliyopewa. Binafsi nimeshangazwa sana na alichosema ndugu Gerson Msigwa kwa sababu...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Waziri Paul Makonda ili kuifanya Tanzania ing'are kwenye vyombo vya kimataifa

    Waziri wa Habari, Paulo Makonda ameonesha nia nzuri ya kutaka Tanzania ifahamike kimataifa. Hata hivyo utaratibu aliouzungumza ili Tanzania iandikwe aljazeera, CNN na maeneo mengine ina walakini, na hapa nitoe mawazo yangu kwenye kutimiza hilo. Suala la sisi kuandikwa kimataifa halifanyiki sana...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iingilie kati Wanahabari wanaoingilia Faragha za watu

    Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia. Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi aikabidhi Taifa Stars milioni 20

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiikabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20 (Goli la Mama) baada ya kuifunga Burkina Faso 2 - 0 katika ufunguzi wa Mashindano ya CHAN Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari muulizeni vizuri Ally Mayai Tembele na awajibu kwa usahihi nini kimemkuta wizara ya Habari hadi akaondolewa kwenye ukurugenzi

    Huyu bwana wakati wa Mchengerwa aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, wengi wakaona kwa sababu amecheza mpira basi ataimudu nafasi hiyo, lakini cha kushangaza muda sio mrefu tangu apewe cheo hicho kikubwa wizarani inaonekana ameondolewa, sasa kama...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msigwa ana ajira mbili? Moja Katibu Mkuu Wizara ya Habari nyingine Msemaji wa Serikali?

    Haya mambo yanafikirisha sana asee. Why vijana wanqtendewa hivi? Sasa ni muda wa serikali kujitafakari. Katika fukuto la ukosefu wa ajira Kuna mtu anakuja kusema vijana wasifikirie ajira za serikali pekee bali wajiajiri. Mtu huyo ni msemaji wa serikali pia ni katibu mkuu wizara ya habari!
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  13. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Sanaa na Utamaduni zihamishiwe katika Wizara ya Utalii na sio kama zilivyo sasa Wizara ya Habari?

    Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai?? Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi?? Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Je, Jerry Silaa amemgomea Rais Samia kufanya kazi katika Wizara ya Habari?

    Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliamua kumuondoa Wizara ya Ardhi ambapo sote naamini tunakumbuka hekaheka zake akamhamishia Wizara...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa amepwaya Wizara ya Habari? Sasa aamua kuzindua miradi ya Maji, Vituo vya Afya na Chuo cha ufundi Mkalama ambazo si za Wizara yake!

    Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama. Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa akabidhiwa Ofisi Wizara ya Habari na Katibu Mkuu wa Wizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara ========= MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb)...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Bei za vifurushi vya data zipungue

    𝒀𝒂𝒉: 𝑼𝒍𝒊𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊𝒇𝒖 𝒘𝒂 𝑩𝒆𝒊 𝒛𝒂 𝑽𝒊𝒇𝒖𝒓𝒖𝒔𝒉𝒊 𝒗𝒚𝒂 𝑫𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝑴𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒚𝒂 𝑾𝒂𝒕𝒂𝒏𝒛𝒂𝒏𝒊𝒂 𝗠𝗵𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗶𝘄𝗮 𝗝𝗲𝗿𝗿𝘆 𝗦𝗹𝗮𝗮, 𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼 𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶, 𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮, 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮. Mheshimiwa Waziri, Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuteuliwa kwako kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari kuomba fedha pungufu ya Bajeti iliyopita inamaanisha Serikali haiwekezi katika Ulimwengu wa Kidigitali?

    Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari: BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape aishukuru mchango wa JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma

    Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024. "Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA...
  20. Keylogger

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
Back
Top Bottom