janabi

Emad Khudhayir Shahuth al-Janabi (Arabic: عماد خضير شهوته الجنابي) (born c. 1965) was an Iraqi blacksmith detained in Abu Ghraib prison where he alleges he was abused by American military personnel and defense contractors.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Profesa Janabi kama Dr. Fauci wa Marekani

    Dr. Anthony Fauci alikuwa ni Mkurugenzi wa taasisi ya kitaifa ya Marekani ya magonjwa ya mzio na kuambukiza(NIAID) kwa takribani miaka 20 na jina kubwa katika masuala ya Afya Marekani kama alivyo Janabi hapa Tanzania. Wakati wa mlipuko wa COVID anakumbukwa zaidi kwa jinsi alivyokuwa akitoa...
  2. J

    Kwa Wanaume: Ukifuata diet ya Prof. Janabi ulijari wako Kitandani umekwisha

    Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha Wanga (Carbohydrates). Nawatahadharisha wanaume wenzangu ili upige show kwa mkeo, girlfriend na...
  3. Arnold Kalikawe

    Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  4. tpaul

    Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja amesikika akisema kwamba, kwa ulaji ule wa Profesa Janabi, ukiwa muislamu mwenye wake wanne unaweza kushindwa kumlisha mkeo "chakula cha chini" na hatimaye ndoa zikavunjika. Amesema haya akiwa na maana kuwa ukibahatika kuoa mwali...
  5. M

    Profesa Janabi ataka watu wembamba wasinyanyapaliwe

    PROFESA Mohamed Janabi amesema mtu kuwa mwembamba haina maana kwamba ni mgonjwa, akionya unyanyapaa dhidi ya kundi hilo ambalo yeye ni sehemu yake. Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Afua ya Mfumo Jumuishi hospitalini...
  6. D

    Watanzania tusitishike na Janabi

    Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda. Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna mtu alijiita DR NDODI Huyu ndio alikuwa balaa alitoa vitisho vyake na kila Aina ya vyakula na...
  7. S

    Picha: Prof. Janabi akiwa anakula milo 3+ na akiwa anakula mlo mmoja.

    Picha ya juu. Muonekano wa prof. Janabi wakati anakula milo zaidi ya 3 kwa siku. Picha ya chini. Muonekano wa prof. Janabi akiwa anakula mlo mmoja tu kwa siku. Maoni yangu. Kabla ya kuufuata ushauri wa prof. Janabi tuanze kufuatilia mwenendo wa afya ya mwili wake kwanza. Binafsi namuona kama...
  8. Kaka yake shetani

    Kuna watu wapo nyuma ya Profesa Janabi?

    Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike. Inakuwaje kila Prof Janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  10. S

    Sikubaliani na Profesa Janabi

    Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake. Kwa hiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile. Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu; 1. Kiu.........maji. 2. Njaa....chakula. 3...
  11. Street Hustler

    Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

    Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki. Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani. Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
  12. M

    Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi...
  13. Suley2019

    Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi. Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara. Prof. Janabi...
  14. MamaSamia2025

    Dkt. Janabi na Wanaharakati wa Afya tuache upotoshaji. Nchi ina tatizo kubwa la Utapiamlo na sio uzito wala unene

    Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake. Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara...
  15. Replica

    Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

    Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
  16. M

    Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

    Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha. Profesa Janabi...
  17. D

    Profesa Janabi hakuwa sahihi, si kila mtu anahitaji kufanya uchunguzi wa moyo kabla ya kuanza programu ya mazoezi

    Haina uhalisia Kauli yake itawafanya watu wengi waogope mazoezi Hatuna vituo vya kutosha vya kufanya uchunguzi kama huo Ni gharama kufanya chunguzi Watu wangapi umewasikia wakifa kwa sababu ya kufanya mazoezi? Madhara yake hutokea kwa nadra sana. Kumekuwa na elimu nyingi zinazotolewa na...
  18. tpaul

    Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
  19. donlucchese

    Profesa Janabi apuuzwe!

  20. The Boss

    Dokta Janabi aweke mfumo nzuri wa taarifa za tahadhari za afya..

    Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali.. Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi waweke mfumo nzuri wa taarifa......ili mtu akihitaji source iwepo...na asitokee mtu akapotosha ..hizo...
Back
Top Bottom