Ndugu Jumanne Kishimba ni mtu wa aina gani haswa? Mbona ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja tofauti na tulivyodhani?

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,146
4,203
Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au hawakuweza kujipa muda wa kulifikiria?

Kwa wale tuliofika mwanza kipindi cha nyuma naamini mpaka sasa ukiwa pale mjini utasikia ghorofa la Kishimba au stendi ya Kishimba huyu ndugu iliaminika kuwa n mfanyabisha mkubwa na n mtu aisejua kusoma na kuandika hzi ndio stori zilizopo huko mtaani lakini mbona anahoja nzito hapo ndio utajua kusoma haikutenganishi na ujinga Bali niwewe mwenyewe ndio unaweza kujitenga na ujinga kwanjia zako mwenyewe unazoziamini.

Kwa stori zilizopo inasemekana alijipatia pesa na Umaarufu ws kibiashara kujua mnamo miaka ya 80's na mwanzon mwa 90's inasemekana alirisk kufanya Biashara ndani ya mipaka ya Rwanda na Burundi ikiwa kwenye Vita Kali ndio hapo alipopata pa kutokea.

Lengo kuu la kuandika hapa Kiukweli huwa ananivutia kumsikiliza na maneno yake ysnafikirisha sana mpaka unajiuliza huwa anakuwa wap akijenga hoja zake moja ya hoja zake alizosema juzi eti "wazazi pamoja na serikali unatumia sio chini ya 40millions kumsomesha daktari na akimaliza aruhusiwi kutoa huduma ya matibabu mpaka awe na kibali wakati hapo hapo.

Kuna ndugu zetu Masai na jamii zingine wanazunguka mitaani au kwenye mabasi wakisema ninakupa dawa inatibu magonjwa kadhaa nahuyu hajasomea na serikali imemruhusu auzie watu dawa wakati huyu daktari aliesomea na serikali kumpa Cheri Cha uhitimu na utabibu afya eti aruhusiwi kutoa matibabu mpaka awe na kibali ambapo kiuhalisia inachukua muda na gharama nyingi" huyu mbunge wa Kahama kweli n akili kubwa.

Kwanini serikali au taasisi za Elimu isitumie kumuomba huyu Kishimba aende akawape darasa wanafunzi waliopo chuo na kuwalisha mentality za kujitegemea wao binafsi baada ya kuhitimu na wasitegemee serikali?

Ni muda Sasa chuo kikuuu cha DAR ES SALAAM kwanini kisimpe udaktari wa heshima kwa kuenzi mchango wake kwa Taifa bungeni Mana huwa akiongea ukimuona anaonekana kajipanga na anaongea kitu kwa kumaanisha yaan yupo makini.

Mimi namuelewa kwa hayo machache he wewe unamuelewa vp au ulishawahi kumsikia kwenye Nini pia napenda nipate upande wa kibiashara jinsi anavyopambana.

Asanteni.
 
Huwa nafuatilia michango yake Bungeni. Jamaa anajadili kivingine tofauti na wachangiaji wengine wanaojikitika kufafanua hoja za mambo yanayoongelewa na jamii au na wazungumzaji waliotangulia.

Ukimzingatia vizuri, pamoja na comedy kiasi, unapata wazo mbadala ambalo likiboreshwa (badala ya kupuuzwa) linaweza kuwa chachu ya mabadiliko katika mifumo yetu kwa maendeleo ya taifa hili.
 
Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au hawakuweza kujipa muda wa kulifikiria?

Kwa wale tuliofika mwanza kipindi cha nyuma naamini mpaka sasa ukiwa pale mjini utasikia ghorofa la Kishimba au stendi ya Kishimba huyu ndugu iliaminika kuwa n mfanyabisha mkubwa na n mtu aisejua kusoma na kuandika hzi ndio stori zilizopo huko mtaani lakini mbona anahoja nzito hapo ndio utajua kusoma haikutenganishi na ujinga Bali niwewe mwenyewe ndio unaweza kujitenga na ujinga kwanjia zako mwenyewe unazoziamini.

Kwa stori zilizopo inasemekana alijipatia pesa na Umaarufu ws kibiashara kujua mnamo miaka ya 80's na mwanzon mwa 90's inasemekana alirisk kufanya Biashara ndani ya mipaka ya Rwanda na Burundi ikiwa kwenye Vita Kali ndio hapo alipopata pa kutokea.

Lengo kuu la kuandika hapa Kiukweli huwa ananivutia kumsikiliza na maneno yake ysnafikirisha sana mpaka unajiuliza huwa anakuwa wap akijenga hoja zake moja ya hoja zake alizosema juzi eti "wazazi pamoja na serikali unatumia sio chini ya 40millions kumsomesha daktari na akimaliza aruhusiwi kutoa huduma ya matibabu mpaka awe na kibali wakati hapo hapo.

Kuna ndugu zetu Masai na jamii zingine wanazunguka mitaani au kwenye mabasi wakisema ninakupa dawa inatibu magonjwa kadhaa nahuyu hajasomea na serikali imemruhusu auzie watu dawa wakati huyu daktari aliesomea na serikali kumpa Cheri Cha uhitimu na utabibu afya eti aruhusiwi kutoa matibabu mpaka awe na kibali ambapo kiuhalisia inachukua muda na gharama nyingi" huyu mbunge wa Kahama kweli n akili kubwa.

Kwanini serikali au taasisi za Elimu isitumie kumuomba huyu Kishimba aende akawape darasa wanafunzi waliopo chuo na kuwalisha mentality za kujitegemea wao binafsi baada ya kuhitimu na wasitegemee serikali?

Ni muda Sasa chuo kikuuu cha DAR ES SALAAM kwanini kisimpe udaktari wa heshima kwa kuenzi mchango wake kwa Taifa bungeni Mana huwa akiongea ukimuona anaonekana kajipanga na anaongea kitu kwa kumaanisha yaan yupo makini.

Mimi namuelewa kwa hayo machache he wewe unamuelewa vp au ulishawahi kumsikia kwenye Nini pia napenda nipate upande wa kibiashara jinsi anavyopambana.

Asanteni.
Jumanne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.

Muulizeni kilichomkimbiza nchini na kwenda kuishi Zimbabwe. Alikimbia RB pale Mwanza Central Police ya kujeruhi/ kuua
 
Nyuma ya hizo leseni za utatibu na ni utapeli mkubwa uliojificha kwa jina la leseni,kuna siri kubwa nyuma ya matibabu yote ikiwemo dawa,ukisoma na kutambua hizo siri zao na ukazitoa,wanakufungia leseni yako
 
Back
Top Bottom