jamii forums

  1. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  2. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha million 1 Kwa mwezi sina akiba bank Wala kipato cha ziada nawezaje kujenga nyumba ya ndoto yangu ya vyumba 3 yenye kila kitu muhimu....

    🏠 UNA MILIONI 1 KWA MWEZI? UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NDANI YA MIAKA 2! Mtu mwenye kipato cha TSh 1,000,000 kwa mwezi, hana akiba benki wala kipato cha ziada — anawezaje kujenga nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu ndani ya miaka 2 bila kichwa kutuma? 😂 Jibu ni moja: NIDHAMU + MPANGO +...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used

    Naitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa Kabla sija chukua hatua yeyote yamanunuzi asante 🙏🏾 Naishi LINDI
  4. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

    Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea... Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini? Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli.. Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi...
  5. Jerry pro

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Uwekezaji kwenye Biashara ya Samani (Furniture) - Dodoma

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma. Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya...
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Which are the most influential IDs in Jamii Forums?

    Kuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia. Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF. Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact nao . Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc Taja wengine
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Ukerewe (kada ya elimu) hatujalipwa pesa za kujikimu

    Ahsanteni sana JamiiForums kwa kuendelea kutupatia habari na kutupa nafasi ya kufikisha sauti zetu. Sisi watumishi wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, kada ya elimu, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu. Jambo hili linatupa wasiwasi, hasa ikizingatiwa kwamba wenzetu wa...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sababu ipi ilikufanya kujiunga JamiiForums? Mimi ni kikao cha Mwitongo, nikiwa na Makongoro na Mkapa December 2014!

    Tarehe 11/12/2014 Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba! Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down ! Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

    SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:- 1. mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jamii Forums imeshafunguliwa?

    Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii Forums kwa VPN kila muda
  11. M

    JamiiForums Tanzania Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  12. Club Mate

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie JF yetu, tusambaze elimu ya matumizi ya VPN

    Wakuu, Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi... Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

    Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025 Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi. 1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma 2. Jamii forums imeajiri vijana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vya waandishi wa habari na Waandishi wa habari, pazeni sauti kupinga kufungiwa JAMII FORUMS kinyume na sheria.

    PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU WAANDISHI WA HABARI NA VYAMA VYENU VYA TAALUMA. JF ilishamaliza the so called adhabu ya kukiuka maudhui kama walibyodai wao ingawa JF alikopi alichokuwa amekipost huyo mwizi wa Zimbabwe. Pamoja na kuwa adhabu hiyo ilikuwa batili, JF...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanasheria: Nataka kuishtaki TCRA kwa kuendelea kuifungia Jamii Forums

    Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado. Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naomba TLS wafungue kesi ya kikatiba dhidi ya serikali kuifungia Jamii forums bila makosa

    Adhabu walioitoa TCRA ilikuwa inaisha tarehe 9 disemba. Sasa kwa nini wanawanyima Watanzania uhuru wa kujadili na kupeana habari juu ya mustakabali wa taifa lao? Kwa nini TCRA wanakiuka na kuikanyaga ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Naomba msaada wa Tls ili...
  17. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kinachoenda kutokea Tanzania

    11/12/2025 when i was sleeping during midnight I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road. One servant of God said “She is in the process to have death“ Pray for Tanzania 🇹🇿 Proverbs 14:34 "Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
  18. Agent-47

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inakuwaje hata Jamii Forums hamjui leo ni sikukuu ya nini?

    Tanzania vs Tanganyika. Sielewi ukakasi uko wapi, bora hata ya Madelu yeye alisema Tanzania bara.
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

    Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
  20. Poker

    JamiiForums Tanzania Hivi wana JamiiForums mliandamana huko mitaani kweli?

    Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja. Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook. Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au...
Back
Top Bottom