kuambiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi? Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini? Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine. Lakini pia tujiulize...
  2. M

    Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

    Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya. Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!" Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
  3. BARD AI

    Senegal: Rais Macky Sall atangaza kuharakisha Uchaguzi Mkuu baada ya kuambiwa ahirisho lake ni kinyume na Katiba

    SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025 Uamuzi wa kuahirisha Uchaguzi na Bunge kupitisha azimio hilo, umeibua vurugu na maandamano nchini...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  5. MubengaJr

    Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  6. C

    Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  7. Expensive life

    Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

    Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo? Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
  8. J

    Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

    Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa...
  9. Teslarati

    Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  10. P

    Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
  11. B

    Raia Samia asikie ya kuambiwa: DP World inatupeleka kubaya

    Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu: Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno? "Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi." Ushauri wa bure tunaelekea kubaya
  12. K

    Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
  13. Artifact Collector

    Feisal Salum, za kuambiwa changanya na zako. Muda ni wakili mzuri sana

    Maamuzi aliyoyafanya feisal december muda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache zinaweza kama angekua ni mtu anayeona mbali angelinda kiwango chake na kukiongeza ili hata mkataba wake...
  14. VUTA-NKUVUTE

    Rais Samia, kwanini 'unatufichaficha' wananchi wako hata tunayotakiwa kuambiwa?

    Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na kumalizwa sirini. Yale ya hadharani ni ya kusakia 'support' kwa wananchi. Wananchi wasikie na...
  15. Engager

    Nani yuko nyuma ya hili Tamasha la Matokeo ya Sensa?

    Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele. Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa hili tamasha la kuambiwa tuko mil.61? Hivi kweli hawa watawala hawajaona hata shida tu ya maji dar...
  16. Hamza Nsiha

    Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

    Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine. Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani. Mfano...
  17. B

    Rais Samia, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Kumbuka madaraka uliyo nayo sasa kwa mujibu wa katiba kuna watu hawakupendezwa uwe nayo. Kama ujuavyo, watu hao wala si wa upinzani bali wa kijani wenzako. Walisema waswahili kikulacho ki nguoni mwako. Au unadhani walishakuridhia sasa na kila kitu wewe na wao ni shwari? Hadi sasa kuna mengi...
  18. Q

    Baada ya kuambiwa TCD inatumika kwa manufaa binafsi, Admin aifunga akaunti ya TCD Twitter

    TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto...
Back
Top Bottom