Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,699
5,472
Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?

Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.

BFB1B0FB-3908-47EB-A74C-63FB163DD02D.jpeg
 
Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?

Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.

View attachment 2844104
Muache kukisia umri wa watu kwa macho. Maumbo yanatofautiana. Mimi nikiwa kidato cha Tano nilikuwa Nina miaka 18, lakini picha zangu huyo anaonekana mdogo tu, bahati mbaya siwezi kuzituma humu. Kuna watu tuna miili mikubwa hata usiseme. Japo kweli baadhi wanafoji miaka, ila uthibitisho unahitajika.
 
Kijana mdogo kabisa
Tumemsajili mnamwona na mnabeza na wala hakuna aliyemjua kabla ya kusajiliwa leo
Akianza kukiwasha mnaanza ooh analipwa kidogo

Saiv mpo mnashangilia ushindi mliopata dhidi ya Kagera sugar
Hata hamna habari kama dirisha lishafunguliwa msajili muimarishe team yenu iliyo dhaifu kama mlenda, muda unaenda ivo
Mtashangaa muda unaisha star wa simba anabaki kuwa onana kikosini
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?

Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.

View attachment 2844104
Litoto kabisa mbona,

Nikiwa na miaka 16 nilikuwa na uwezo wa kutandika ball kisawasawa tu, kusimama na mchezaji yeyote wa umri mkubwa na kumsumbua ninavotaka
 
Back
Top Bottom