admin

  1. ChuseMpole

    Naomba support ya muziki wangu

    Habari zenu jamani? Naitwa Chuse , me ni msanii chipukizi ambae nafanya mziki wa hip hop. Nahtaj msaada wenu ili kufikia malengo ndg zangu! Video yangu ipo YOUTUBE tayari naomba ridhaa yenu ili niweze kushare link nanyi ndg zangu.
Top