pasipoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  2. R

    Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi? Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini? Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine. Lakini pia tujiulize...
  3. R

    Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

    Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini. Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa. Wanadai wakiripoti...
  4. GENTAMYCINE

    Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  5. R

    Dkt. Makakala hongera sana kwa mabadiliko makubwa katika utoaji VISA na Pasipoti Ubalozini; wajengeeni uwezo watoa huduma wenu

    Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa. Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
  6. navigator msomi

    Msaada: Makosa kwenye kujaza fomu ya pasipoti ya kusafiria

    Wakuu samahani, naomba mwenye maarifa kidogo juu ya swala hili anipe mawazo kidogo. Nilijaza fomu ya kuomba passport mtandaoni hadi mwisho kisha nikailipia then after nika download tayari kwa kui-submit ofisi za uhamiaji. Tatizo langu ni kuwa baada ya kuidownload form nimeona picha niliyotumia...
  7. R

    Kwanini raia wa kigeni wanapewa kadi za NIDA na pasipoti za Tanzania?

    Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata. Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa...
  8. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  9. TODAYS

    Afrika Mashariki kila siku vikao, wenzenu Namibia na Botswana wameruka, sasa ni vitambulisho siyo pasipoti!

    Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka. Seŕikali za Namibia na Botswana zimekubali...
  10. B

    Hongera Dkt. Anna Makakala, Diaspora tumeona mabadiliko upokeaji maombi ya pasipoti ila Sasa maafisa wachache wamekalia maombi bila kutoa pasipoti

    Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
  11. B

    Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  12. B

    Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  13. Cicero

    Wabunge Uganda wapinga nchi yao kutumia passport ya Afrika Mashariki, wahoji uhalali wake

    The move to have an East African Community (EAC) international passport has hit a snag in Uganda after MPs blocked it over its legality and the cost to users. In 2016, EAC leaders agreed to upgrade the EAC passport from a regional to an international document, with Kenya and Tanzania launching...
Back
Top Bottom