vibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Waandishi wetu bhana! Kapewa tip Tanesco vibarua wanalipwa 15,000 kwa mwezi kaileta redioni kama ilivyo

    Mwandishi wa Wasafi ambae jina sijalipata, kapata tip huko mtaani vibarua wa Tanesco wanalipwa elfu 15 kwa mwezi nae kaibeba kama ilivyo kaja nayo redioni bila hata kufanya kitafiti kidogo. Angejiuliza tu 15,000 ukiigawa kwa siku 30 unapata jero kila siku, tenahapo akadai na NSSF wanaikata...
  2. MubengaJr

    Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  3. AFRICAN BOYI

    Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Wakuu habari zenu, Nimekuwa nikitafuta mishe yoyote ya kupiga hapa mjini bongo bila mafanikio yoyote yale, awali nilikuwa napiga mishe za saidia fundi. Ubaya wa hizi mishe hapa bongo ni utapata leo Kisha utakaa sana mpaka upate kazi nyingine. Angalau zile za kuweka Kambi mpaka miezi miwili huko...
  4. Webabu

    Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

    Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana. Hali hiyo imelazimisha viwanja vyote vya Israel kutokuwa salama kwa safari za anga kupelekea wafanyakazi...
  5. matunduizi

    Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  6. Nsanzagee

    Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  7. Elli

    Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

    Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani? Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa...
  8. S

    Kaombeni Vibarua Jengo la Freemason Posta, Dar

    Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam. wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa. Huwezi Jua labda Deiwaka ni laki moja kwa siku.
  9. T

    DAWASA inatesa na kuwanyanyasa vibarua na wafanyakazi wa mikataba

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa inakawaida ya Kutumia Vibarua...
  10. A

    DOKEZO Vibarua wa Kiwanda cha NIDA Ubungo tuna hali mbaya

    Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi. Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata special boots na vifaa vitakvyomuweka salama. Mfanyakazi (vibarua) wanalipa elf 4 Hadi elf 5 kwa...
  11. hamza mahundu

    Vibarua viwandani vinasaidia kwa vijana?

    Naomba kujua ni kweli VIBARUA VIWANDANI INASAIDIA KWA VIJANA?? Na mshahara wake unakuwaje?
  12. hamza mahundu

    Naomba mwenye connection ya viwandani - Dar es Salaam

    Habari wanajamii forums. Kwa wakazi wa daresalam mabibo na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa ajira na siku na muda wa kwenda kuomba kazi pia nini kinahitajika uendapo maeneo hayo
  13. AY 5225

    Wenyeji wa Zanzibar, naombeni muongozo tafadhali

    Heshima yenu wakuu. Niko Zanzibar kwa siku kadhaa sasa na nimekuja kwaajili ya kutafuta ridhiki. Naomba tips/muongozo kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata kazi/kibarua na itapendeza zaidi malipo yakiwa ni kwa siku maana sina makazi. Lengo langu ni kuwa na kazi mbili; moja ya kuifanya asubuhi...
  14. AY 5225

    Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

    Heshima yenu wakuu. After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua. Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar? Stay blessed.
  15. N

    Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar

    Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna fundi anaweza ni push ili maisha yaende
  16. M

    Maoni: Watanzania hawataki tena kuwa tu manamba na vibarua, wanataka pia kuwa sehemu ya wawekezaji kwenye Bandari

    Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
  17. Euphra

    SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu, Inafahamika wazi kabisa kwamba...
  18. A

    DOKEZO Vibarua wanaojenga SGR Itigi wamegoma kufanya kazi wakidai maslahi ni duni kwa Wazawa

    Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa. Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
  19. Hemedy Jr Junior

    Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  20. Sidee01

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
Back
Top Bottom